gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
dah, mi kuna mmoja alikuwa Classmate wngu pale Bandari College duh full mapozi ya kike, dah inauma sana na inakera
Duuuu ndugu alikua na hayo map oz wakat mko chuo au mlivyokutana nowadays?
dah, mi kuna mmoja alikuwa Classmate wngu pale Bandari College duh full mapozi ya kike, dah inauma sana na inakera
Mungu hawezi kosea katika eneo kama hilo. Huu ni mchezo mchafu ambao wamezoea na wanaendekeza tu.
Utamu wa ngoma ingia ucheze. ..... utajua tu ukijaribu ... sema uko wapi?
Kijiji chetu kinaitww hamukoko, je wewe mwanakijiji mwenzangu ama ni majina kufanana tu?[Wanaona sie tunafaidi]
nimecheka mbavu sina
nani kakuambia mashoga wanavibamia
nina hangover ila nimejisikia kuchangamka kwa comment yako!Wanaona sie tunafaidi
Wapendao.mashoga.ni.wengi.zaid kuliko.mashoga wenyewe
Wataachaje na wakati wanaume ndio wanaowapa suport?
Kama mngekua hamuwachukui wangeongezeka?acheni unafki lol
Hakuna Laana kubwa kama hii dume zima linamshikisha ukuta dume mwenzie lol!!....ptuuuuuuuuuu.......ata chembe ya haya hawana Wanawake wote sie umfate dume.mwenzio?
Sijui nafsi.zetu zina nn
Huu.ni zaidi ya msiba
Mungu anusuru vizaz vyetu
Usishangae hata makanisa yanawaoza jinsia moja. Hata papa wa Vatican aliuliza yeye "ni nani hata aweze kuhoji ushoga".
Hiyo ni laana yenye baraka za makanisa.
Sio kweli kuwa maisha yamekuwa mafupi kwa sababu ya u.se.nge!!Yamekuwa mafupi, na yanaendelea kutokana na u.s.e.n.g.e huu unaohamasisha. Babu zako waliishi kistaarabu, je maisha yao yalikuwa mafupi? Je mwanao akiwa shoga utamwambia "furahi, maisha ni mafupi?. Naomba majibu.
Usishangae hata makanisa yanawaoza jinsia moja. Hata papa wa Vatican aliuliza yeye "ni nani hata aweze kuhoji ushoga".
Hiyo ni laana yenye baraka za makanisa.
Umeshaanza mpinga makanisa.Usishangae hata makanisa yanawaoza jinsia moja. Hata papa wa Vatican aliuliza yeye "ni nani hata aweze kuhoji ushoga".
Hiyo ni laana yenye baraka za makanisa.
Wanaona sie tunafaidi