Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

matumizi binafsi ya mwili wao kila mtu ana uhuru wa kueleza hisia zake kwa aina ya mtu anayevutia naye akiwa mwanaume akiwa mwanamke sawa lakini yeye aliyetuumba toka mwanzo alituumba mtu mke na mme.
 
Dini lazima itajwe ndugu. Huwezi kuikwepa maana hata vita nyingi zinazoendelea dini ni moja ya vyanzo vikuu..........au huelewi nn mkuu? Km dini yako ndo hiyo Chagua basi hama kwani sio kabila ambalo huwezi hama.
usitumie makalio kufiri shm on y..
 
Mpuuzi wewe!!!!

Hahahahaha,mimi is mpuuzi najaribu tu kukumbusha kuwa kuna wanaume wanashida jamani yani unakuta maskini yamungu mwanaume anakibamia kimesinyaaa kwelikweli sas mtu kama huyu is bora atumie mtandao pendwa!!!!!!
 
Wanasemaga eti nyuma patamu sana kwa kuwa ni tight compare na ile sehemu mahususi kwa tendo hilo ambao wanawake tu wanayo,wanadai eti papuchi za Dada zetu zimepyaya sana hvyo ulazimika kutumia emergency door kwa kuwa inakuwa bado sealed
 
Ivi kweli mtandao ukihalalishwa cjui wazungu watadiscover shimo gani tena mweeee,labda pua sasa,mtakuwa mnawaona watu pua zimetanuka mithili ya mdomo mweee
 
Kuongezeka kwa soko kwao nalo ni tatizo, vilevile kutokuwepo kwa sheria kali inayowaadhibu, pia watu hawana hofu ya mungu sikuhizi plus kuiga mambo ya kizungu tunapaswa kulinda maadili yetu kwa nguvu zote.
 
Hahahahaha,mimi is mpuuzi najaribu tu kukumbusha kuwa kuna wanaume wanashida jamani yani unakuta maskini yamungu mwanaume anakibamia kimesinyaaa kwelikweli sas mtu kama huyu is bora atumie mtandao pendwa!!!!!!

Si lkin kuna dawa za kukuza.
 
Lakin tukumbuke ni MUNGU tu ndiy anayeza kutukinga na haya wala si kwa akili zetu yenyewe maana shetan anajitahid sana kukusanya watu wake maana cku zak zinahesabika so nikujitahidi sana kwa familia zetu Kumcha MUNGU.
 
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu

Hicho kiwanja ulichoingia kinaitwa Uhuru peack, tatizo ni vijana kupenda mteremko wakati kazi ngumu hawataki, waache waolewe tu, tumechoka!
 
Back
Top Bottom