Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ivi kweli mtandao ukihalalishwa cjui wazungu watadiscover shimo gani tena mweeee,labda pua sasa,mtakuwa mnawaona watu pua zimetanuka mithili ya mdomo mweee

Teh teh....tih toh tuuuuu.
 
Kuongezeka kwa soko kwao nalo ni tatizo, vilevile kutokuwepo kwa sheria kali inayowaadhibu, pia watu hawana hofu ya mungu sikuhizi plus kuiga mambo ya kizungu tunapaswa kulinda maadili yetu kwa nguvu zote.

Kweli kabisa bi dada.
 
Kwani kanisa ni nini????

Sijui nini, mimi nimeona ni sehemu yakuoana mashoga na kama ujioneavyo hapa, wachungaji nao wenyewe mashoga:

RevCowardAndGaymateBobbyEgbele2.jpg

Photo Above: British Gay Priest Rev. Colin Coward with Nigerian Gay Fiancé Bobby Egbele (Photo 2)

Source: British Gay Priest To Marry Nigerian Man
 
Hiyo chuki yako unajua itakapokupeleka??

Huwezi kujadili jambo bila kuweka hisia zako za kidini?

Haya mambo yanahusiana na mambo mengi sana
Kuna watu wa imani nyingi sana wanajihusisha na hii makitu

Hukua na haja ya kuingiza imani hapa
Ungejadili kawaida tu ...!!!!!!

Sijajadili imani ya mtu, nimejadili jinsi kanisa linavyoshadidia ushoga na picha nimeweka, ushahidi kamili. Kinachokuuma ni nini? Ukweli unakuuma?
 
Sijajadili imani ya mtu,
Kanisa halihusiani na imani yamtu?
nimejadili jinsi kanisa linavyoshadidia ushoga na picha nimeweka,
Mada inazungumzia jinsi "kanisa" linavyoshadidia ushoga?
ushahidi kamili.
Kamili ni nini?
Picha ni ushahidi kamili?

Nikitengeneza picha inayokuonesha upo uchi itakuwa kweli?
Kinachokuuma ni nini?
Nimesema kuna kinachoniuma?
Au unaota?
Ukweli unakuuma?
Ukweli ni nini?
Ukweli ni upi?

Ukweli unawezaje kuuma?
 
Kanisa halihusiani na imani yamtu?

Mada inazungumzia jinsi "kanisa" linavyoshadidia ushoga?

Kamili ni nini?
Picha ni ushahidi kamili?

Nikitengeneza picha inayokuonesha upo uchi itakuwa kweli?

Nimesema kuna kinachoniuma?
Au unaota?

Ukweli ni nini?
Ukweli ni upi?

Ukweli unawezaje kuuma?

Kama jibu la link niliyokuwekea halijakutosha pitia na hii upate majibu yote ya maswali yako ukimaliza njoo na maswali mengine nikuwekee signature ya Gavana:

He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Observer
 
Back
Top Bottom