MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,040
- 858
Hivi jina halisi la hili tendo ni kufanya nini?
Hata Mimi nina wasiwasi na wewe
Hivi jina halisi la hili tendo ni kufanya nini?
Wanaona sie tunafaidi
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu
nilinuna kwa polisi kutaka kunipa kesi ila umenifanya nitabasamu.
Pokea bonge la LIKE bibie hebu baelezee
Me Dume dushelele sema km unataka kupumliwa nije.
Wanaona sie tunafaidi
kwaani wanao nanihiii na wanao fanyiwa wote si sawa? wanapata wateja wapi km siyo wanaume.
Hapa Mwenge kuna bar ilikuwa inaitwa "one for the road" ambapio mashoga walikuwa wanajazana hapo kwa sana, kwani mwenye Bar hiyo inasemekana ni Basha hivyo wale ni marafiki zake na bila shaka alishawatafuna baadhi.
Kuna siku nilishawahi kukaa hapo akaja jamaa mmoja akaniuliza wapi ilipo baa ya was...ge, nikamuambia sijui sijawahi kuisikia, kisha akaenda jirani na pale akauliza hivyo hivyo akaambiwa mbona ndio hapo ulipotoka, basi akarudi akaja kunifokea kwamba nimemdanganya kumbe ndo hapo hapo. Nilichoka sana.
Hawa watu wapo tena wengi sana hasa hasa vijana wadogo wadogo.
Aisee wanaona nyie mnafaidi...kwani wanvotoa wao na nyinyi mnatoa? au kwenu ruksa au kwa sio