Ongeza siku za kuishi hap

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,494
338b4e58e2e1cadc8b13d5c5c383b91f.jpg

Watu wanawaza mbali
 
Tigo wasanii sana,utapeli mtupu.Mtawapata washamba washamba tuu wenye akili zetu kamwe mtandao wa watoto wa shule
 
Hawa nisawa na Halotel
Wao Wapo kivingine
Wanakwambia ongeza Salio upate dak za bure

Ajabu ni kwamba ,MTU ana kifurushi cha wiki ,anaongeza dk kwa lengo la kuzuia dak zake zisi expire
Ukijiunga tu mfano Tsh2000
Wanakupa dak 20 siku 2 na unapo anza kupiga simu hazitumiki hizo za offer zinatumika zile za wiki
Baada ya siku 2 offer ina expire
Nimtindo mpya wa kuwa danganya watu
 
Back
Top Bottom