"Ongeeni midomo isiwanuke. . ."

Ha ha ha ha, dah umenifanya nimecheka kimsamba leo.

Amevunjwa kitasa? Bora king'oke kuliko kubaki kifutu lol
we acha tu,mimi tutabanana arusha mpaka kieleweke,afe kipa afe beki mtanange huu utapigwa hadi dakika 90'
 
Bishanga ushaanza na wivu wako. Yani unataka nimnyime hata kutaniana na wadada wa mtaani? Mbona mi nataniana na wakaka kwa sana tu?
hala hala mti na jicho.......huwa wanaanza hivo hivo......trust me.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa utapiga dk 90? bila refa?
Hahahaaaa tunaiba mpira tuone utacheza na nini
atafutaye hachoki mkuu,one day yes.
By the way nina mpango wa kufunga siku 40 specifically kuomba nitimiziwe haja ya moyo wangu!
 
Ananigwaya mvuto kwake umeshapotea. Sema wewe hapo upo tayari? au na wewe unanigwaya? teh teh teh.
Hahahahaaaaaa Erotica unatafuta ugomvi eeeeh Lol
Ngoja nimwombe Kongosho ajiandae kusuluhisha then ndio nikupe jibu maana mh
 
Last edited by a moderator:
atafutaye hachoki mkuu,one day yes.
By the way nina mpango wa kufunga siku 40 specifically kuomba nitimiziwe haja ya moyo wangu!
Halafu Bishanga hukutupa feedback ya safari yako Unga LTD
Hebu sema sasa maana hii kauli yako ya "atafutaye hachoki mkuu,one day yes" inanitia shaka kidogo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa Erotica unatafuta ugomvi eeeeh Lol
Ngoja nimwombe Kongosho ajiandae kusuluhisha then ndio nikupe jibu maana mh

wajameni mbona watu wa jf wote mnaongea kwa mafumbo kana kwamba

yale ambayo mwafahamu kila mtu afahamu, sasa kukuuliza kama upo interested natafuta ugomvi gani?
 
Halafu Bishanga hukutupa feedback ya safari yako Unga LTD
Hebu sema sasa maana hii kauli yako ya "atafutaye hachoki mkuu,one day yes" inanitia shaka kidogo

Achana na Byshanga. . .vijipesa vyake tu vinampa kichaa
maana hajapata waku'chop his money'.
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe mi naenda J5 nikale nyama choma. Ntakua pale Fuka hiyo jpili, ukipita nipungie.
Hahahahaaaa sawa uniandalie kipande cha nyama choma aisee maana nshakuwa mmasai siku hizi....
Utanirushia chap chap siunajua zina raha yake...
 
Back
Top Bottom