"Ongeeni midomo isiwanuke. . ."

He he he nkugambile, nainywa lubisi, sina ukabila, nina umobutu.

Afu sitaki utani, ujue karibia napewa talaka bure?

Sasa nakupa Erotica akuvunje mgongo.

Kongosho na Mwali,hivi jf kuna mwanaume decent,hardworking,responsible,loving and caring kama bishanga?
Jamana embu angalieni vituko anavyofanyiwa Lizzy na huyu mkaka mapepe tena mbele ya hadhara tukufu ya jf? Does she really deserve this torture? Tell her to reconsider her position.
Halafu na we konnie acha ukabila,umenielewa getegete?
 
Last edited by a moderator:

Bishanga unaniogopa?
 
Last edited by a moderator:
He he he nkugambile, nainywa lubisi, sina ukabila, nina umobutu.

Afu sitaki utani, ujue karibia napewa talaka bure?

Sasa nakupa Erotica akuvunje mgongo.
hunipendi wewe,juzi erotica kamvunja mtu mb....o wakiwa kwenye ma akrobati sijui staili gani halafu leo unamsukuma kwa kibabu bishanga?
 
Last edited by a moderator:
hunipendi wewe,juzi erotica kamvunja mtu mb....o wakiwa kwenye ma akrobati sijui staili gani halafu leo unamsukuma kwa kibabu bishanga?
Mh we muhaya mbona una meneno machafu au ndio mdomo wako ushaanza kunuka?
Hahahahaaa
 
Ha ha ha ha, dah umenifanya nimecheka kimsamba leo.

Amevunjwa kitasa? Bora king'oke kuliko kubaki kifutu lol

hunipendi wewe,juzi erotica kamvunja mtu mb....o wakiwa kwenye ma akrobati sijui staili gani halafu leo unamsukuma kwa kibabu bishanga?
 
Kongosho na Mwali,hivi jf kuna mwanaume decent,hardworking,responsible,loving and caring kama bishanga?
Jamana embu angalieni vituko anavyofanyiwa Lizzy na huyu mkaka mapepe tena mbele ya hadhara tukufu ya jf? Does she really deserve this torture? Tell her to reconsider her position.
Halafu na we konnie acha ukabila,umenielewa getegete?

Bishanga ushaanza na wivu wako. Yani unataka nimnyime hata kutaniana na wadada wa mtaani? Mbona mi nataniana na wakaka kwa sana tu?
 
Last edited by a moderator:
sa ingine ku drive pweint home unalisema lilivyo,huyu konnie ana ajenda ya siri ya kunitengua niniliyu.
Hahahahaa na alivyo na hasira ya ile kitu lol
Angalia sana......kuna mtu alimtengua jana hajaonekana tena hadi leo na sijui usalama wa huyo mtu ukoje
 
Back
Top Bottom