"Ongeeni midomo isiwanuke. . ."

"Ongeeni midomo isiwanuke. . ."

Lakini mjue huyu refa huwa ana midadi

hawakiwii kuomba kupiga penati.
Sasa atakuwa anatafuta ugomvi....atashangaa anashambuliwa na timu zote mbili kwa mpigo sijui atapona kweli?
 
tuje tutafute jina la mama ake
afu nikufundishe jinsi ya kumwita romatically kwa kiyunani.

Kweli hapa unaelekea kuiva sasa.

Kongosho Hehehe asante wifi.

Ehhhhhh nifundishe. . . nataka akitoka kazini leo nimpokee kwa mbwembwe.

Alafu jina nalo muhimu?
 
Last edited by a moderator:
Sasa siunajua nnayo ya mwingine tayari? Kama uko tayari kuwa kanyumba kadogo niombe ruhusa.
Teh atajinyonga..tena small house utakuwa umempaisha sana na atakuwa na bahati.....Lol
 
Sasa siunajua nnayo ya mwingine tayari? Kama uko tayari kuwa kanyumba kadogo niombe ruhusa.
angalao sasa tumeanza kupiga hatua.....tulikotoka ni mbali twendako ni ni karibu........
 
Teh teh unampeleka chumba cha wageni....kwani anakujua cha wenyeji? Hope hakijui lol
Akiumwa na njaa masaa 24 ndio atashika adabu na hutamwona anabadili Location tena hahahahaaaaa

Hahahaha. . . ngoja nifanye mpango wakumkomesha aache kupenda vya watu.
 
Back
Top Bottom