Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Hehehehehe. . . ningekua sina hiyo jeuri siungekua wewe ndo unajiandaa kunikumbatia saa hizi?
Hahahahahaaa mwache apigwe baridi
Hehehehehe. . . ningekua sina hiyo jeuri siungekua wewe ndo unajiandaa kunikumbatia saa hizi?
Kongosho Hehehe asante wifi.
Ehhhhhh nifundishe. . . nataka akitoka kazini leo nimpokee kwa mbwembwe.
Alafu jina nalo muhimu?
huu ni umri wa kula maisha sio kujifunza mafumbo. wewe baasi ushanishinda. teh teh
Yap! Erickb52 You are man!!Kwanza nataka kwenda Haiti....uko tayari?
Kule ndio maisha yaliko....
Konnie siku zote najua we best wangu,kumbe........poa lakini.wee unatafuta pa kufia?
Ngozi imeshakuwa jojo
Ongeeni, ongeeni midomo isiwanuke. . .
Semeni semeni mpaka yawashuke. . .
Mie nimejitulizaa, wangu mi aniliwaza. .
Yani kama ni mchezo umepata mchezaaji. .
Kama ni igizo limepata mwigizaji. .
Nyie kazi kusema. . . .
Amani mwajinyima. . .
Furaha kwenu adimu nawaambia mtajijuu.
Khaaa. . yani leo ndio nimejua hata wamama wa huku kijijini wanaongea. Hiyo "ongeeni midomo isinuke" nimeisikia kwa.wamama wafanya biashara Sanya/Lawate. . . nikaona isiwe tabu ngoja na mie nianze utunzi wa taarab. Mpaka xmass ntakua nshatoa walau singo moja!!
Dah pole mwaya...akikusumbua j2 lala eehhahaha..alichakaza baba mtu mzima jana!
Lakini he wont find out about this eh..usiwe na shaka!