Kifimboplayer
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,542
- 717
nashindwa kuelewa binti wa kike kumsimamia mwanaume huku umeshika kiuno na ma-amri kibao kisa we umemwajiri na una pesa hata kama una pesa thamini utu wa mtu shame on you
Kama huna hela hata ungekuwa na tumbo kubwa kama la komba lakini unaweza Kuamrishwa na mtoto kama lulu