Oneni wenyewe

Oneni wenyewe

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BhuGNgtIgAAZjOF.jpg:large
 
Hahahahha....wenzio wanasaka money
 
Bango tu kashindwa kuandika, ataweza kujenga kweli.
 
huyu aliunga unga madarasa..akapata cheti kaenda veta...akapata tenda ndo ikawa hivo
 
hii makitu nimeiona barabara moja ya kwenda wilaya mpya mkoani iringa!
 
Hapo anapiga kazi ya maana aisee na anaingiza pesa mingi sana... kuandika haina maana maana ni anachokijenga
 
Ngeli wito. Hapo mnahesabu miezi kadhaa tu hata hiyo barabara haitopitika.
 
Lakini yeye ni Mhandisi na si Mhandishi...
 
Huyu anatakiwa apigwe viboko 30 wakat wa kuingia na 30 vingine wakat wa kutoka ili akamwonyeshe na mkewe
 
Back
Top Bottom