CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
sheikh Yahya alitabiri atakateyempinga JK atakufa ila chakushangaza akafa yeye.
Sasa wewe mbona umeleta jipya tena kukusu mulugo? Hebu fafanua kwanza hapa halafu ndo uendelee na Sugu.hata cmpendi kabsa amim,kwa7bu ya skendo yake ya kutembea na mama na mtoto wake huku mbeya,lakn kwa alchofanya leo imenbd nmsfu..
Ana miaka miwili tu pale... baada ya hapo hana chake
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.
Mkuu uliyoandikwa umeandika kiushabiki wa kichama kwa vile ni mmbunge toka chadema au kutoka moyoni? angekuwa ni mmbunge wa ccm au cuf nk ungeandika hivyo kweli, mi binafsi siamini. Mficha maradhi ....! kama ni kweli sugu amefanya hivyo mi binafsi naona kakosea na hakutumia busara, miaka 2 sio mingi!
sheikh Yahya alitabiri atakateyempinga JK atakufa ila chakushangaza akafa yeye.
hata cmpendi kabsa amim,kwa7bu ya skendo yake ya kutembea na mama na mtoto wake huku mbeya,lakn kwa alchofanya leo imenbd nmsfu..
Usiumize kichwa wengi humu ni waajiliwa kabisa kwa kazi ya kuwatetea viongozi wa CDM. Nawajua kwa majina na ID vijana wa Arusha wanaolipwa kwa kazi ya kutetea CDM hapa, ID nyingine zinamilikiwa na chama na kila mfanyakazi pale Kinondoni ana password anaweza ku login na kuanza ku defend kila analoona linakwenda kinyume na matakwa ya maboss zao. Hawa sio watu ni mfumo uliowekwa kulinda maslahi ya maboss zao kwa hiyo usitegemee kama kuna kutumia akili hapo.
ndoo maana kuna wakati wanatetea hata vitu ndivo sivyo na wakikosa point ya kutetea wanakuogesha matusi ili usepe usiendelee kumwaga point,halafu ni walewale siku nenda rudi,hawazidi hata 30,lakini wakivamia thread utadhani Tanzania yote inaongea.
Good propaganda strategy.

mkuu nfafanue nin zaid hapo kwan hauelew kisw.?