LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,113
- 27,099
- Thread starter
- #61
Mok
Hiphop ngumu inafanywa na watu kama Lord Eyez ( On his Prime), Gwm et al.
Moko hafanyi hiphop ngumu. Moko ni mghani mashairi. Ile anayo fanya sio hiphop.Ujuh kuchambua mamb mzaz una attack m2 direct kwnda na wakat saw ila uwez kwenda na kila kitu katk huo wakat usika,ukisema wat waend na wakati utahamasisha vijana wale unga maana wakat huu imekua sana.vl vil utahamasish wat wawe mashoga kwn nyakat hz wat wanapambnia huo ushoga…acha moko afany ngumu make c kwmb wote wanapenda unachopenda wew,stl kuna wadau kibao wa ngumu bro
Hiphop ngumu inafanywa na watu kama Lord Eyez ( On his Prime), Gwm et al.