One the Incredible a.k.a Kardinali has stuck in the 90s.

NakazaJR

NakazaJR

Senior Member
Joined
Sep 3, 2015
Messages
126
Points
225
NakazaJR

NakazaJR

Senior Member
Joined Sep 3, 2015
126 225
" Hip hap" ni kusema ukweli . Na huo ndio ukweli wangu. One anachana kama.kibogoyo kwa sababu ana mapengo.
Chuki za waziwazi kabisa hizi kwa mchizi.mbona ni rahisi tu kuna kila aina ya miziki na kila aina ya wasanii,kwanini utake kila msanii afanye muziki unaoutaka wewe afanye?
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
unapo vunjwa moyo, unaujenga tena. usiweke chuki iache iondoke na iende vyema.....moko wa miujiza

kama umwelewi one lazima uwe na vinasaba vya kuchukia mambo ya maana na kupenda vya hovyo.
Tatizo Anachana kama kibogoyo.Hana swags
 
Rolihlahla

Rolihlahla

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Messages
199
Points
250
Rolihlahla

Rolihlahla

Senior Member
Joined Mar 19, 2019
199 250
Kwanza kabisa hiyo a.k.a ya Kardinali mimi ndio nimempa huyu jamaa kwa sababu ana Pengo.

Back to my point. One the Incredible has stuck in the 90s. He thinks 2019 is 1994.

Yani up to this era huyu jamaa bado ana ule ushamba wa kusema fulani ni Rapper na fulani ni Mc?

Na anavyo itajaga hihop its so funny.Anatamka " HIPHAP" .

Muziki wa Hiphop ngumu ( ambayo huyu Bwana Mdogo Kardinali ) ana u pioneer ulikuwa relevant in 70s, 80s and mid 90s.

Actually even before the " death" of Tupac Shakur and Frank White muziki huo ulikuwa umesha katwa kichwa tayari.

Tulicho kishuhudia kuanzia mwaka 96,97 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa ni mtikisiko wa mkia wa muziki wa huo ambao tayari ulikuwa umeisha kufa since the days of Pontiius of Pilates"


Huu ulikuwa muziki ulio tumiwa na watu weusi hasa wa ( Ghetto America) kuelezea machungu yao.

Initially American System had been designed for the failure of Black People.

In a response Vijana wamarekani weusi waliutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutumia muziki wa Hiphop kuwa mobilize wamarekani weusi sanjari na ku spread consciousness and awareness among them.

Baada ya conditions kuwa improved muktadha wa muziki huo ukabadilika kutoka kwenye kuimba nyimbo za kutetea haki za watu weusi hadi kwenye nyimbo za kuhamasisha violence among Africans Americans.

Pioneer wakuu wa muziki wa Hiphop wa sasa wakawa watu wa maisha ya ghetto na vikundi vya kihalifu " gangs".

Kundi moja kutoka hood moja linaweza kufanya wimbo kwa ajili ya kutukana au kutishia kundi jingine kutoka mtaa mwingine na ujinga ujinga mwingine kama huo.

Hawa ndio aina ya watu ambao wame mu influence one the Incredible. Kama hiyo haitoshi anataka aina hii ya muziki ndio iwe promoted!!!!

Kwangu mimi muziki wa Hiphop haujawahi kuwa utamaduni. Ni mtindo wa muziki kama mtindo mwingine tu yani kama ilivyo muziki wa Kwaya au Rnb.


One the Incredible badala ya kuhamasisha watu wa upende muziki wao wa asili una taka watu waupende muziki wa wamarekani weusi wanaoishi ghetto!!! Are u sure ur not sick?


Wamarekani weusi wa ghetto unawaona watu wa maana sana kiasi umeamua kuyaishi maisha yao na kutaka watu waufuate mtindo wao wa maisha?..

For your information " BLACK ( Ghetto )AMERICANS, ARE THE MOST LOWEST FORM OF BLACK PEOPLE"

Ni fedheha kwa kijana kutoka katika nchi ya Kiafrika kuiga mtindo wa maisha wa watu weusi wanaoishi ghetto nchini Marekani ambao wengi wao hawana maadili wala utu.

Kwa Wasanii wa muziki wa Hiphop ambao wewe One unawahusudu.


1.They dont respect their women. To them All women are bitches..Just listen to their songs.
2. They call their houses ghetto.
3. They promote violence ( Shooting people and nonsense like that)

4. They use alot of curse words etc
They miss lead black kids and alot of other related stuffs.

Hata baadhi ya hao wasanii weusi ambao wamefanikiwa kutoka kimaisha hawayapendi maisha ya ghetto. Mfano mzuri 50 Cents kwenye wimbo " Hate It or Love It " anasema " NOTHING GOOD IN HOOD RUN AWAY FROM THIS BITCH NEVER COMEBACK IF I COULD".

50 Cents huyo huyo alimtosa Swahiba wake wa enzi za Mtaani " Bang Em Smurf" baada ya kuona jamaa.analeta mambo ya " kishamba" ya mtaani ilihali 50 tayari alikuwa ametoka kimuziki na kimaisha.

Kutengeneza image yake akamtosa jamaa.Sasa hivi amekuwa deported yupo Trinidad and Tobago huko anavuta ashish.


Acha ushamba One the Incredible usituletee ushamba wako wa miaka ya 90.
Eti unasimamisha nguzo za Hiphop.!!! Nguzo za Hiphop?

Those who stuck in the 90s die like in the 90s.

Fanya research yako kuhusu Chicago Hiphop. Hawa watoto wa Chicago wamestuck kwenye 90s ndio maana wanauana sana. M. You tube dogo wa Chicago anaitwa Young Pappy, tazama Life Style yake, muziki wake, watu alio waua na jinsi alivyo uliwa.

Huku Tz hutouliwa ila muziki wako utakufa kama ambavyo mimi na wewe tunajua muziki wako umekufa.

Hupati show yoyote wala hakuna mtu anajua nyimbo zako.

Wewe na crew yako wote mnao chana kwa style zinazo fanana hamna mafanikio yoyote kimuziki kwa sababu mmekataa kwenda na wakati.

Mnawachukia weusi bure tu
Weusi wanatumia akili. Wanafanya muziki unao endana na wakati uliopo.

Wakati uliopo sasa unawahitaji wanamuziki wa aina Joh Makini, Nikki Wa Pili & Co kuliko watu kama wewe Nash, P the Mc, Nikki Mbishi etc.

For any one to love ur kind of music he or she must travel back to the 90s.

Kwenye crew yenu mtu pekee anae fanya muziki mzuri ni Songa.

Acheni kwenda kinyume na maandiko. Maandiko yanasema ukomboeni wakati. Nyinyi wakati wenu mnaupoteza bure.

Muziki ni style, beats and beautiful melody.
Kama unataka kutoa ujumbe andika kitabu au nenda pale Nkurumah Hall kafanye Speech iwekwe You Tube.

Usilazimishe wote wawe kama wewe. Wewe Nyota yako imekufa ndo maana unavutiwa na vitu vilivyo kufa kama huo muziki unao ufanya.

Wewe una ijua Hiphop kuliko Nas.?Nas amezaliwa Hiphop inapotokea lakini anasema " Hiphop is Dead"

Joh Makini and ur crew fanyeni muziki wazee. Raia tunawakubali sana.


One the Incredible and ur crew inawezekana mkawa na nia nzuri sana lakini kitu kizuri huwa hakitazamwi kwa kuangalia nia ya mtu bali matokeo yake.

Kama unafanya muziki wako halafu watu hawaupendi maana yake ni kwamba unafanya muziki mbaya.

# KULETA HIP HOP NGUMU TZ MIAKA HII NI SAWA NA KULETA TZ NYIMBO ZA ENZI ZA STRUGGLE AGAINST APARTHEID IN SOUTH AFRICA LIKE ' MAYIBUYE ,KHAWULEZA, & NDONDEMNYAMA VEROWOED BY MIRIAM MAKEBA AU WIMBO KAMA ' OLIVERTHAMBO TETA NO BOTHA"ETC.
NYIMBO HIZO SI TU KWAMBA WAKATI WAKE UMEISHA PITA NOW BALI HATA WASAUZ WENYEWE HAWAZISIKILIZI SEUZE UZILETE HAPA TZ.

MATOKEO YAKE KILA SIKU MNALALAMIKA MNABANIWA.
I'm sorry, wait, what's your talent?
 
DavidHard

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Messages
403
Points
250
DavidHard

DavidHard

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2011
403 250
Jamaa umepoteza muda wako kuandika pumba hizi..alafu unajiona unajua muziki hivi One unamjua ama unaandika tu upupu huu..kajifunze dogo.then urudi tena
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
Jamaa umepoteza muda wako kuandika pumba hizi..alafu unajiona unajua muziki hivi One unamjua ama unaandika tu upupu huu..kajifunze dogo.then urudi tena
Jamaa umepoteza muda wako kuandika pumba hizi..alafu unajiona unajua muziki hivi One unamjua ama unaandika tu upupu huu..kajifunze dogo.then urudi tena
Namjua ..Ana mapengo anachana kama Kibogoyo..
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
5,427
Points
2,000
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
5,427 2,000
We unae jua muziki hebu Nitajie hit song tatu za one the Incredible
kivyovyote, the incredible, young gifted

tungo zake ni funzo kwa wapumbavu (wewe). badala usikilize uelimike ww unajaza chuki tu kama ndugai
 
Chiqa

Chiqa

Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
69
Points
150
Chiqa

Chiqa

Member
Joined Jul 19, 2017
69 150
Tikisa spika kufikisha understanding, mc unaebisha kama umevishwa underskirt...
Niko conscious lala wewe fala uliepakatwa..
Nahisi ukavu ndani ya ubeti mahiri wanasema Nina hisia chafu zaidi ya nyeti ya mswahili... Usikariri we Gazeti mi mhariri, mi kiti chenye msumari ukiketi keti kiakili

Unateseka kwani?:p:p
 
Chiqa

Chiqa

Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
69
Points
150
Chiqa

Chiqa

Member
Joined Jul 19, 2017
69 150
ADO ADO MIXER FT JACO BEATZ

Ndomana nipo napotaka kuwa na bado sina habari na wanaotaka jua, wanaochakachua? Wanao tupo chaka na tour ya wanaosaka sio wanaosaka tour, ushamba nachukia kwani tangu naanza sikutaka kutoka ila nilitaka tu kuingia na bado hauamini sina mpinzani na haunitaki mchezoni sababu sina mpinzani... So waache wafanye fanye vihit song(weusi) wapigwe kwa disko waseme wanapata mshiko ila nasomeka vyema hata kwa midomo yao pia ni somo kwao kwanzia kwao mpaka nilipo.. Braza punguza chuki, the guy is talented.. Huwezi zima volcano by spitting at it..
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
Tikisa spika kufikisha understanding, mc unaebisha kama umevishwa underskirt...
Niko conscious lala wewe fala uliepakatwa..
Nahisi ukavu ndani ya ubeti mahiri wanasema Nina hisia chafu zaidi ya nyeti ya mswahili... Usikariri we Gazeti mi mhariri, mi kiti chenye msumari ukiketi keti kiakili

Unateseka kwani?:p:p
Ndo nini sasa hiki?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,313
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,313 2,000
hivi unajijua kuwa wewe ni mpumbavu???? hao marapa wa kisasa wa mainstream ndo wanaoongoza kupromote violence, huelewi unaongelea nini,hao wakina nipsey walikuwa mainstream na walikuwa matajiri na muziki wao huo wa kisasa unaowapa hela na kuwa mamilionea asilimia 90% ya content yake ni kuhusu glorification of gangsta life style, selling drugs,killing wack niggas,fucking big booty hoes, drinking wine etc..sasa wewe unakuwa kama shoga hueleweki au nyege nyingi,mara ya mwisho umeto..mba lini??
Mtoa mada ana ji contradict mpaka kupata pa kuanzia kumkosoa inakuwa tabu.
 

Forum statistics

Threads 1,336,215
Members 512,562
Posts 32,530,918
Top