One the Incredible a.k.a Kardinali has stuck in the 90s.

Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,316
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,316 2,000
Maisha ni Choice.. Usi force watu wawe utakavyo. Kuna category kibao za muziki ni maamuzi ya mtu kufanya kile anachoona kipo sawa kwa upande wake. Kutaka mtu kuwa kama mtu fulani huko ni kukosa mantiki. Alafu lifestyle wanaoishi hao wanahiphop wa Chicago zinaweza kufanana na one lakini one incredible havunji sheria kama hao watu unaowasema. Na kuhusu biashara ya muziki Tanzania wanaotusua ni wachache. Mwisho usilazimishe unachokiamini wewe kuwa sawa kwa watu wengine.
wasanii wa mainstream wana majina makubwa tofauti na uhalisia wa kipato chao cha muziki
 
BabaMorgan

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
981
Points
1,000
BabaMorgan

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
981 1,000
wasanii wa mainstream wana majina makubwa tofauti na uhalisia wa kipato chao cha muziki
Ukweli bongo muziki haulipi kiasi hicho wapo wachache ndo wanafaidika ila namba kubwa ya wasanii ni hungry fire stress kibao kwa ajili ya kuishi maisha ya kupretend wengi wanaona wanahiphop ndo wanamaisha duni Ila ni kwa sababu wanahiphop hawapretend maisha... Ila in general ukisema wasanii wote waishi maisha halisi ndo utajua kuwa sio hiphop tu ndo halipi Bali muziki Tanzania haulipi.
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
hivi unajijua kuwa wewe ni mpumbavu???? hao marapa wa kisasa wa mainstream ndo wanaoongoza kupromote violence, huelewi unaongelea nini,hao wakina nipsey walikuwa mainstream na walikuwa matajiri na muziki wao huo wa kisasa unaowapa hela na kuwa mamilionea asilimia 90% ya content yake ni kuhusu glorification of gangsta life style, selling drugs,killing wack niggas,fucking big booty hoes, drinking wine etc..sasa wewe unakuwa kama shoga hueleweki au nyege nyingi,mara ya mwisho umeto..mba lini??
U have stuck in the 90s.
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
Maisha ni Choice.. Usi force watu wawe utakavyo. Kuna category kibao za muziki ni maamuzi ya mtu kufanya kile anachoona kipo sawa kwa upande wake. Kutaka mtu kuwa kama mtu fulani huko ni kukosa mantiki. Alafu lifestyle wanaoishi hao wanahiphop wa Chicago zinaweza kufanana na one lakini one incredible havunji sheria kama hao watu unaowasema. Na kuhusu biashara ya muziki Tanzania wanaotusua ni wachache. Mwisho usilazimishe unachokiamini wewe kuwa sawa kwa watu wengine.
"Ubaya aambiwa mtu afanyae mambo yasiyo takikana" Juma Nature in the song Jinsi Kijana.
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
Hauna hoja wewe. Umebaki kutukana tu cause u have stuck in the 90s.

" Hello my nigga"
wasanii wa mainstream wana majina makubwa tofauti na uhalisia wa kipato chao cha muziki
[/QUOT
 
andaskoo

andaskoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
991
Points
1,000
andaskoo

andaskoo

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
991 1,000
Ukweli bongo muziki haulipi kiasi hicho wapo wachache ndo wanafaidika ila namba kubwa ya wasanii ni hungry fire stress kibao kwa ajili ya kuishi maisha ya kupretend wengi wanaona wanahiphop ndo wanamaisha duni Ila ni kwa sababu wanahiphop hawapretend maisha... Ila in general ukisema wasanii wote waishi maisha halisi ndo utajua kuwa sio hiphop tu ndo halipi Bali muziki Tanzania haulipi.
I second that, maisha bora ya wasanii bongo wengi yanaishia instagram tu.... labda na lokesheni kwenye kushuti (wanaopretendi).
 
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Messages
3,655
Points
2,000
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2017
3,655 2,000
"Hip hop nafurahi kuwa wako, hata usiponizalia mtoto nitafurahi kua anko" - One the incredible

Kuna aina tofauti tofauti za muziki. Kila mmoja anasikiliza ule unaomvutia. Mimi ni mmoja ya wanaovutiwa na aina ya muziki anaofanya One, Nikki Mbishi and the like.

Nakushauri ujaribu kugundua aina ya muziki unaoupenda, na ujikite huko. Tuachie hip hop ngumu, sio ya kila mtu!

One the incredible and Nikki Mbishi are among the realest to ever do it. Kumtaka abadilike, ni kama kumtaka Nas achane kama Drake au Jigga apige trap rapping za future!

Nigga, we're not stuck in the 90's, we're just too classy to accept fakers!

Wanasema one man's poison is another man's medicene. So, take a chill pill and relax. Hatukukatazi kupenda taarab au aina nyingine ya muziki. Hilo ni chaguo lako, kama ambavyo sisi tumechagua kumsikiliza Uno!

"Nafanya kama sijawahi fanya vyema, na nikifanya nafanya kama sitofanya tena" - One the incredible
 
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
2,296
Points
2,000
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
2,296 2,000
Kwanza kabisa hiyo a.k.a ya Kardinali mimi ndio nimempa huyu jamaa kwa sababu ana Pengo.

Back to my point. One the Incredible has stuck in the 90s. He thinks 2019 is 1994.

Yani up to this era huyu jamaa bado ana ule ushamba wa kusema fulani ni Rapper na fulani ni Mc?

Na anavyo itajaga hihop its so funny.Anatamka " HIPHAP" .

Muziki wa Hiphop ngumu ( ambayo huyu Bwana Mdogo Kardinali ) ana u pioneer ulikuwa relevant in 70s, 80s and mid 90s.

Actually even before the " death" of Tupac Shakur and Frank White muziki huo ulikuwa umesha katwa kichwa tayari.

Tulicho kishuhudia kuanzia mwaka 96,97 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa ni mtikisiko wa mkia wa muziki wa huo ambao tayari ulikuwa umeisha kufa since the days of Pontiius of Pilates"

Huu ulikuwa muziki ulio tumiwa na watu weusi hasa wa ( Ghetto America) kuelezea machungu yao.

Initially American System had been designed for the failure of Black People.

In a response Vijana wamarekani weusi waliutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutumia muziki wa Hiphop kuwa mobilize wamarekani weusi sanjari na ku spread consciousness and awareness among them.

Baada ya conditions kuwa improved muktadha wa muziki huo ukabadilika kutoka kwenye kuimba nyimbo za kutetea haki za watu weusi hadi kwenye nyimbo za kuhamasisha violence among Africans Americans.

Pioneer wakuu wa muziki wa Hiphop wa sasa wakawa watu wa maisha ya ghetto na vikundi vya kihalifu " gangs".

Kundi moja kutoka hood moja linaweza kufanya wimbo kwa ajili ya kutukana au kutishia kundi jingine kutoka mtaa mwingine na ujinga ujinga mwingine kama huo.

Hawa ndio aina ya watu ambao wame mu influence one the Incredible. Kama hiyo haitoshi anataka aina hii ya muziki ndio iwe promoted!!!!

Kwangu mimi muziki wa Hiphop haujawahi kuwa utamaduni. Ni mtindo wa muziki kama mtindo mwingine tu yani kama ilivyo muziki wa Kwaya au Rnb.

One the Incredible badala ya kuhamasisha watu wa upende muziki wao wa asili una taka watu waupende muziki wa wamarekani weusi wanaoishi ghetto!!! Are u sure ur not sick?

Wamarekani weusi wa ghetto unawaona watu wa maana sana kiasi umeamua kuyaishi maisha yao na kutaka watu waufuate mtindo wao wa maisha?..

For your information " BLACK ( Ghetto )AMERICANS, ARE THE MOST LOWEST FORM OF BLACK PEOPLE"

Ni fedheha kwa kijana kutoka katika nchi ya Kiafrika kuiga mtindo wa maisha wa watu weusi wanaoishi ghetto nchini Marekani ambao wengi wao hawana maadili wala utu.

Kwa Wasanii wa muziki wa Hiphop ambao wewe One unawahusudu.

1.They dont respect their women. To them All women are bitches..Just listen to their songs.
2. They call their houses ghetto.
3. They promote violence ( Shooting people and nonsense like that)

4. They use alot of curse words etc
They miss lead black kids and alot of other related stuffs.

Hata baadhi ya hao wasanii weusi ambao wamefanikiwa kutoka kimaisha hawayapendi maisha ya ghetto. Mfano mzuri 50 Cents kwenye wimbo " Hate It or Love It " anasema " NOTHING GOOD IN HOOD RUN AWAY FROM THIS BITCH NEVER COMEBACK IF I COULD".

50 Cents huyo huyo alimtosa Swahiba wake wa enzi za Mtaani " Bang Em Smurf" baada ya kuona jamaa.analeta mambo ya " kishamba" ya mtaani ilihali 50 tayari alikuwa ametoka kimuziki na kimaisha.

Kutengeneza image yake akamtosa jamaa.Sasa hivi amekuwa deported yupo Trinidad and Tobago huko anavuta ashish.

Acha ushamba One the Incredible usituletee ushamba wako wa miaka ya 90.
Eti unasimamisha nguzo za Hiphop.!!! Nguzo za Hiphop?

Those who stuck in the 90s die like in the 90s.

Fanya research yako kuhusu Chicago Hiphop. Hawa watoto wa Chicago wamestuck kwenye 90s ndio maana wanauana sana. M. You tube dogo wa Chicago anaitwa Young Pappy, tazama Life Style yake, muziki wake, watu alio waua na jinsi alivyo uliwa.

Huku Tz hutouliwa ila muziki wako utakufa kama ambavyo mimi na wewe tunajua muziki wako umekufa.

Hupati show yoyote wala hakuna mtu anajua nyimbo zako.

Wewe na crew yako wote mnao chana kwa style zinazo fanana hamna mafanikio yoyote kimuziki kwa sababu mmekataa kwenda na wakati.

Mnawachukia weusi bure tu
Weusi wanatumia akili. Wanafanya muziki unao endana na wakati uliopo.

Wakati uliopo sasa unawahitaji wanamuziki wa aina Joh Makini, Nikki Wa Pili & Co kuliko watu kama wewe Nash, P the Mc, Nikki Mbishi etc.

For any one to love ur kind of music he or she must travel back to the 90s.

Kwenye crew yenu mtu pekee anae fanya muziki mzuri ni Songa.

Acheni kwenda kinyume na maandiko. Maandiko yanasema ukomboeni wakati. Nyinyi wakati wenu mnaupoteza bure.

Muziki ni style, beats and beautiful melody.
Kama unataka kutoa ujumbe andika kitabu au nenda pale Nkurumah Hall kafanye Speech iwekwe You Tube.

Usilazimishe wote wawe kama wewe. Wewe Nyota yako imekufa ndo maana unavutiwa na vitu vilivyo kufa kama huo muziki unao ufanya.

Wewe una ijua Hiphop kuliko Nas.?Nas amezaliwa Hiphop inapotokea lakini anasema " Hiphop is Dead"

Joh Makini and ur crew fanyeni muziki wazee. Raia tunawakubali sana.

One the Incredible and ur crew inawezekana mkawa na nia nzuri sana lakini kitu kizuri huwa hakitazamwi kwa kuangalia nia ya mtu bali matokeo yake.

Kama unafanya muziki wako halafu watu hawaupendi maana yake ni kwamba unafanya muziki mbaya.

# KULETA HIP HOP NGUMU TZ MIAKA HII NI SAWA NA KULETA TZ NYIMBO ZA ENZI ZA STRUGGLE AGAINST APARTHEID IN SOUTH AFRICA LIKE ' MAYIBUYE ,KHAWULEZA, & NDONDEMNYAMA VEROWOED BY MIRIAM MAKEBA AU WIMBO KAMA ' OLIVERTHAMBO TETA NO BOTHA"ETC.
NYIMBO HIZO SI TU KWAMBA WAKATI WAKE UMEISHA PITA NOW BALI HATA WASAUZ WENYEWE HAWAZISIKILIZI SEUZE UZILETE HAPA TZ.

MATOKEO YAKE KILA SIKU MNALALAMIKA MNABANIWA.
uzi wa leo ushuzi mtupu
sanaa kila mtu ana vya kwake.
wangapi wanaimba kama vya ulaya au vya jamii nyengine na wametoka.
sema wewe sio mchambuzi wa muziki ni msikilizaji.
kama una chuki ya kumchukia mtu sema,hata wasanii tulipo kuna wengine tuna wachukia kwa sanaa zao
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
uzi wa leo ushuzi mtupu
sanaa kila mtu ana vya kwake.
wangapi wanaimba kama vya ulaya au vya jamii nyengine na wametoka.
sema wewe sio mchambuzi wa muziki ni msikilizaji.
kama una chuki ya kumchukia mtu sema,hata wasanii tulipo kuna wengine tuna wachukia kwa sanaa zao
One the Incredible ndio ana chuki binafsi na wasanii wenye mafanikio kimuziki kama weusi and company
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
Hu
"Hip hop nafurahi kuwa wako, hata usiponizalia mtoto nitafurahi kua anko" - One the incredible

Kuna aina tofauti tofauti za muziki. Kila mmoja anasikiliza ule unaomvutia. Mimi ni mmoja ya wanaovutiwa na aina ya muziki anaofanya One, Nikki Mbishi and the like.

Nakushauri ujaribu kugundua aina ya muziki unaoupenda, na ujikite huko. Tuachie hip hop ngumu, sio ya kila mtu!

One the incredible and Nikki Mbishi are among the realest to ever do it. Kumtaka abadilike, ni kama kumtaka Nas achane kama Drake au Jigga apige trap rapping za future!

Nigga, we're not stuck in the 90's, we're just too classy to accept fakers!

Wanasema one man's poison is another man's medicene. So, take a chill pill and relax. Hatukukatazi kupenda taarab au aina nyingine ya muziki. Hilo ni chaguo lako, kama ambavyo sisi tumechagua kumsikiliza Uno!

"Nafanya kama sijawahi fanya vyema, na nikifanya nafanya kama sitofanya tena" - One the incredible
Huwa siwaelewi watu wanao sema wanamkubali Uno. Unamkubali vipi mtu anaechana kama Kibogoyo???. Bora ungesema hata Nikki Mbishi ingawa na yeye ni boya tu but at least anaweza kuchana.
 
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Messages
3,655
Points
2,000
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2017
3,655 2,000
Hu
Huwa siwaelewi watu wanao sema wanamkubali Uno. Unamkubali vipi mtu anaechana kama Kibogoyo???. Bora ungesema hata Nikki Mbishi ingawa na yeye ni boya tu but at least anaweza kuchana.
Wakati unasema One aache chuki dhidi ya Joh Makini na wenzie, wewe unaonyesha chuki ya wazi dhidi ya One. Ain't it funny?

Anyway, kwa akili na mawazo kama haya unayoandika kwenye hii thread, ni wazi kwamba huwezi kumuelewa One the lyrical genius!

One is truely incredible!
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
Wakati unasema One aache chuki dhidi ya Joh Makini na wenzie, wewe unaonyesha chuki ya wazi dhidi ya One. Ain't it funny?

Anyway, kwa akili na mawazo kama haya unayoandika kwenye hii thread, ni wazi kwamba huwezi kumuelewa One the lyrical genius!

One is truely incredible!
" Hip hap" ni kusema ukweli . Na huo ndio ukweli wangu. One anachana kama.kibogoyo kwa sababu ana mapengo.
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,316
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,316 2,000
Ukweli bongo muziki haulipi kiasi hicho wapo wachache ndo wanafaidika ila namba kubwa ya wasanii ni hungry fire stress kibao kwa ajili ya kuishi maisha ya kupretend wengi wanaona wanahiphop ndo wanamaisha duni Ila ni kwa sababu wanahiphop hawapretend maisha... Ila in general ukisema wasanii wote waishi maisha halisi ndo utajua kuwa sio hiphop tu ndo halipi Bali muziki Tanzania haulipi.
wakifariki ndo maisha yao yanajulikana
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,316
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,316 2,000
Hauna hoja wewe. Umebaki kutukana tu cause u have stuck in the 90s.

" Hello my nigga"
nitajie msanii anaefanya huo mziki ambao wewe unasema unalipa ambaye ana maisha mazuri
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,316
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,316 2,000
Hu
Huwa siwaelewi watu wanao sema wanamkubali Uno. Unamkubali vipi mtu anaechana kama Kibogoyo???. Bora ungesema hata Nikki Mbishi ingawa na yeye ni boya tu but at least anaweza kuchana.
mzee,one kakuchukulia demu wako nini?? chuki humuumiza anayeibeba haya uwanja wako huu,toa ya moyoni chuki iishe, ulivyokuwa kitobo hujui kwamba one mwenyewe ameswich siku hizi
 
sasa unasikilizaje rap ya kibogoyo wakati huipendi na jamaa hajui kuchana???
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,774
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,774 2,000
Get off my dick
mzee,one kakuchukulia demu wako nini?? chuki humuumiza anayeibeba haya uwanja wako huu,toa ya moyoni chuki iishe, ulivyokuwa kitobo hujui kwamba one mwenyewe ameswich siku hizi
 
Forum statistics

Threads 1,336,205
Members 512,562
Posts 32,530,421
Top