Unaposema usaliti na uchonganishi weka ushahidi haiwezekan mtu yule yule kupewa kashafa zile zile watanzania wanaitaji kuaemewa sio kusikiliza hekaya kilasiku
Hivi kwenye ESCROW ni kitu gani kipya ulichofanya, kusoma ripoti bungeni?
kati ya watu wanafiki na wachawi wewe unaongoza. naomba ujibu hayaTumeshaonya wanachama wetu wote kutoshambulia chama chochote cha upinzani. Walikuwa wanachokozwa na wao kujibu mapigo. Hata hivyo haina tija na tumeamua kuwa hata tukichokozwa tunasema " tumeshapiga mstari. Forward ever backward never". Hatutachokozeka tena. Kazi yetu kueneza Sera za ACT Wazalendo
Unaposema usaliti na uchonganishi weka ushahidi haiwezekan mtu yule yule kupewa kashafa zile zile watanzania wanaitaji kuaemewa sio kusikiliza hekaya kilasiku
Watoto wa cdm wanajitaidi sana kupiga vita act naamini hamtaweza hamuoni mshangao tu namna act ilivyoanza na sasa ilivyo mabadiliko makubwa sana imekusanya vijana wengi tu wenye kushambulia kama nyinyi tofauti na awali tulivyokua tunapata shida na page zote zinakua za cdm
Nyambafu mfikshieni mfalme mbowe
Hivi wewe Hansel Nasri bado hujui dhana ya Usaliti?
Kwa mujibi wa kamusi ya Tuki,Usaliti ni tendo la kwenda kinyume na makubaliano ambayo yamefanyika awali.
Majambazi huweka makubaliano kuwa hata atakapokamatwa mmoja wao,basi asithubutu kutoa siri zao hata kama atateswa kwa kiwango gani.
Zitto ni mtu anaeamini katika usawa ,uwazi na uwajibikaji.
Zitto ni Kijana anaeamini katika kutenda yale unayoyahubiri.
Sasa Chadema walikubaliana kutochukua posho Zitto akatii agizo hilo la chama kwa kukataa posho tangu 2011 hadi anag'atuka.
Kumbe wenzake walifanya makubaliano mapya ya kuchukua posho hivyo Zitto aliwasaliti kukataa posho wakati hata kiongozi wao mkubwa anakuwa wa kwanza kuchukua.
Zitto anaamini katika misingi ya Kijamaa lkn wenzake wanaamini katika ubepari huo nao ni usaliti mwingine.
Zitto ndie aliemuagiza CAG akague vyama vya siasa bila kufanya cinsultance na chama chake,Zitto alilenga kukidhalikisha chama badala ya kufunika uchafu ili watanzania wasiyajue madhaifu yao.
Kitendo cha Zitto kumuagiza CAG kukagus vyama ikiwemo chadema hakika ni kiwango cha juu cha usaliti.
Report inayotaja waliopta hela Mkombozi na kufungia macho wale waliopokea Stanbic.
Makes you wonder atatumika mpaka lini.
Kweli mkuu analeta dhihaka ya dhahiri6. Viongozi tunaofikiria hapa ni wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Vyama vilivyoshirikishwa na TANU, Wakuu wa Mashirika ya34 Kiserikali. Viongozi kutokana na kifungu cho chote cha Katiba ya TANU, Madiwani, na Watumishi wa Serikali wenye vyeo vya kati na vya juu. (Kwa mujibu wa kifungu hiki kiongozi ni mtu au mtu na mkewe au mke na mumewe).
zitto naona analeta dhihaka kuhusu azimio la Arusha
Tutafia ukawa, wahuni hawa hatuwataki hata UKAWA wakafie mbaliZitto kete pekee muliyobaki nayo ni hicho chama chenu kujiunga na UKAWA nje ya hapo hakika hatutawatofautisha na ccm, haiwezekani leo wapinzani tumeungana halafu kaibuke kachama kakugawa kura zetu halafu tukachekee, vita yetu itakua ni UKAWA v/s CCM+ACT, hamuwez kututoa nje ya mstari sahh
Mkuu Zitto hiki chama kimesajiliwa kama ACT Tanzania hii ACT Wazalendo imetoka wapi, au ni chama tofauti?
Lakini pia ninaomba utupe tofauti ya kiongozi mkuu wa chama na mwenyekiti wa chama, majukumu yako ni yapi ukitofautisha na yale ya mwenyekiti.
Pia ulisikika ukiri kwamba wewe ni mwanzilishi wa chama ukiwa bado chadema, huoni huu ni usaliti na uhaini?
Zitto, niko tayari kumwamini Shetani kuliko kukuamini wewe. Ni kijana msomi lakini ni hatari katika jamii inayotafuta ukombozi wa kweli. Watanzania tumenyonywa na kufanyiwa mambo machafu sana na CCM, tunapigana usiku na mchana ili kuindoa CCM madarakani lakini wewe umekubali kutumika na CCM ili kupunguza nguvu za watanzania katika kutafuta uhuru wao wa kweli. Shetani anaweza kusamehewa dhambi na akaingia peponi lakini si wewe.
Hivi kweli unajisikiaje ulipowasaliti watanzania hasa wana Chadema katika uchaguzi mkuu uliopita wa 2010 kwa kuisadia CCM kupata ushindi wa wizi?. Bila haya wala aibu ukaanzisha chama ndani ya chama kwa lengo la kupunguza nguvu ya upinzani, hivi kweli wewe bwana mdogo unajisikiaje?.
Muda mwingi nimekuwa nikimuuliza Mungu kwanini ulizaliwa?. Mimi ni muislamu, lakini naona naweza kuishi nyumba moja na nguruwe kuliko wewe.
SEHEMU YA TANO
AZIMIO LA ARUSHA
Kwa hiyo basi, Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana katika Community Centre ya Arusha , inaazimia ifuatavyo:-
A. VIONGOZI
1. Kiongozi wa TANU au wa Serikali sharti awe mkulima au mfanyakazi na asishiriki katika jambo lo lote la kibepari au kikabaila.
2. Asiwe na hisa katika makampuni yoyote.
3. Asiwe mkurugenzi katika kampuni ya kikabaila au kibepari.
4. Asiwe na mishahara miwili au zaidi
5. Asiwe na nyumba ya kupangisha.
6. Viongozi tunaofikiria hapa ni wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Vyama
vilivyoshirikishwa na TANU, Wakuu wa Mashirika ya34 Kiserikali. Viongozi kutokana na kifungu cho chote cha Katiba ya TANU, Madiwani, na Watumishi wa Serikali wenye vyeo vya kati na vya juu. (Kwa mujibu wa kifungu hiki
kiongozi ni mtu au mtu na mkewe au mke na mumewe).
zitto naona analeta dhihaka kuhusu azimio la Arusha
Duh, watu mna maswali magumu.
In fact Ujamaa wa Nyerere hautekelezeki kwa uhalisia wa sasa wa dunia. It's too radical a step, labda wameamua kwenda kwa hatua.
Ingawa nisingependa wafike kwenye Ujamaa wa Nyerere, kwani kuna mambo mle yalikuwa ni makosa flani, na yeye mwenyewe Nyerere alikiri kuwa alifanya makosa, hakuna haja ya kurudia makosa wakati tumekuwa na miaka 50 ya kuyasoma mafundisho na practice ya ujamaa wa nyerere.Hata uchina alikojifunzia Nyerere na Cuba wamefanya updates za ujamaa wao.