One night stand ...

Eiyer paroko! Kwa nini umeamua kutangaza maungamo ya waumini wako? Umekiuka maadili ya uchungaji.
 
Last edited by a moderator:
Inaitaji extra force hivi hivi ngumu aise mtu humjui atokako hafu una sleep naye ama kweli we differ
 
Nimewahi kipindi niko na mahusiano ya kuruka ruka ya kuweka sign kila mkoa nnaotua, ila tangu niwe na uyu mama chanja wangu wa sasa sina hisia kabisa na vodafasta na wala hazinishtui..
 
Eiyer alikuwa anategwa...huyo atakuwa married but available...one night stand ni accident ambayo ni vigumu kukuta mwanamke anaisimulia proudly unless amepinda...tofauti na wanaume ambao they can 'kiss and tell'...

Kwa anayekiri humu JF ntamuelewa kwani amejificha nyuma ya fake ID...

Sasa huyu anayekutana na kaka yangu Eiyer afu from nowhere anaanza kusimulia alivyo weak...anataka nini kama si kutongozwa...:angry:

Afu kwani one night stand definition yake lazima iwe na stranger? sidhani inaweza kuwa na mtu unayemjua ila mmekutana mazingira hatarishi mkajikuta mnafanya vitu ambavyo msingefanya...

Afu kibaya zaidi kwa mwanaume hiyo anakuwa alishasahau...wakati bidada anaendelea kutoa ushuhuda...nachomaanisha ni kuwa hii inaishia kuumiza wanawake kwa kuwa wana hisia wakati wanaume sex kwao ni mchezo kama soka...

Kwa jinsi ulivyoisimulia huyo mwanamke anaonekana ni kicheche tu wa mjini hata hiyo ndoa ni jina tu..na ungegusia kidogo tu kupiga nae one night stand...na wewe ungepewa zigo.,
 
Hii kitu mimi wala hainiingii akilini...! Siwezi kwa kweli..!!
 


Unaongelea enzi za mwalimu au waliooa kufuata mkumbo????!!?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…