One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
One night stand nouma maana ya kwangu inaenda kuwa One Month Stand halafu una kesi ujue jana ulikuwa unafanya nini hivi kwanini???

awww nilikuta n am truly sorry nilikuwa kny one month stand lkn naamini sijakudisapointi sana leo utanirudia kabla cjapanda mlimani
 
tooba sijui nilikuwa napitia hapa kutafuta nini mwenzenu.. maana maswali kadhaa yamenijia;

Hivi one night kanuni zake watu wanazielewa? huwezi kuwa na one night ni mtu ambaye mnafahamiana! One night ina sheria hizi:

a. Total stranger
b. No name, no kutambulishana
c. No kubadilishana namba walla kujuana mnafanya kazi gani
d. Asubuhi ukiamka mnaachana bila kuagana wala kupeana ahadi ya kukutana tena.


Sasa mkishaanzia PM n.k za JF hiyo si one night stand.. it sounds like a permanent stand....
 
Permanent Stand lol!!!!
 
One night stand nouma maana ya kwangu inaenda kuwa One Month Stand halafu una kesi ujue jana ulikuwa unafanya nini hivi kwanini???

...astaghafirullah!....

Mpaka nawe umenasa mtegoni? Ndio kusema watakatifu tumebakia Mimi, Aspirin, na Klorokwini tu?
ama kweli huku ni 'kujivua gamba!'

Nashukuru wazee wa familia, MTM, RR na BAK walishastaafu na mapema mambo haya.
Teamo analea!

Am Out!
 

This is the real definition of One Night Stand!

Topic Closed!
 

hahaaaaaaa, Mbu, mie Kova wangu yumo humuhumu kwahiyo nina injunction ya revelations, na hiyo stand mie siiamini kabisa, huwa inazaa stands kabisa kama sio sleeps... hahahaaaaaa
 
Reactions: Mbu

Moskwito.....

Umenena vema!

Tumebaki sisi tu...... sisi tu kuwapelekea habari.
 
Reactions: Mbu

...hehe! heri mie sijazisoma hizo kanuni.
 
hahaaaaaaa, Mbu, mie Kova wangu yumo humuhumu kwahiyo nina injunction ya revelations, hahahaaaaaa

...e banaa eee? ha ha ha....
pole mwe! naskia uswazi siku hizi wana msemo eti "utajibeba!"

LOL!
 
...e banaa eee? ha ha ha....
pole mwe! naskia uswazi siku hizi wanasema eti "utajibeba!"[/I]

LOL!

hahaaaaaaaaaaaaaaa... hii kali, hukawii kuambiwa hajibebbi mtu wala ntu'
 
Reactions: Mbu
kweli aisee, tumebaki sisi tu......:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:

Tumebakia sisi tu wa "Baby Come Back" LOL

Haiumi sana asee!
 
Hahaha!!! Alias si unaona Lita moja ya mafuta 2000, ukija kwenye msosi unaambiwa kilo moja ya unga wa sembe 900 si balaa hili lol!!!



Yaani nimekupata kabisaa... Na bcoz heaven tunajua ni mbinguni.... nafikiri kusafirisha huko inafanya iwe bei zaidi...lol...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…