One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
Kutembea na JF member sawa na kunyea kambi. Kwanza kutakuwa na kukomoana sana, kila mmoja akionyesha kuwa anayoyaandika JF anamaanisha, na asizaraulike. Mwisho wa siku atakayeshindwa kwenye hiyo mech, na jukwaa analikimbia... Hata hivo kuna watu humu mi natamani siku moja nikutane nao head to head, ili nione kama utaalamu wao huku ni ukweli... lol
 
Yesu wangu, tumefikia huku sasa???

Haya wikileaks hiyooooooo....

.............
 
Shemeji Buji bwana ......sio kuwa inategemea na ladha ya mchezo ilivyokuwa? Kama mechi ilikuwa kali basi ni wazi PM's na vikorombwezo vitaendelea kwa sababu lazima umaintain contact bwana siku nyingine wawezatamani tena hahahhah but kama uliuza mechi basi lazima upotezewe........................... loh
.........aisee!!
 
Shemeji Buji bwana ......sio kuwa inategemea na ladha ya mchezo ilivyokuwa? Kama mechi ilikuwa kali basi ni wazi PM's na vikorombwezo vitaendelea kwa sababu lazima umaintain contact bwana siku nyingine wawezatamani tena hahahhah but kama uliuza mechi basi lazima upotezewe........................... loh
tunaweza kufanya mie na wewe? hata leo
 
Jamani hiyo mimi ni mgeni;labda kama kuna mtu ambaye yuko tayari kufanya hivyo basi ninaweza kujaribu.Inawezekana ikawa inalipa!
 
Unaingia na ID mpya:biggrin1::biggrin1:


Sorry nimeshindwa kabisa kuelewa umenijibu nini my concetration imeangukia hapa... Makes me wonder what goes in that mind of yours..lol

Judgement Day has been postponed following the rising cost of fuel
to burn sinners and high food prices to feed people in Heaven. Stay Safe


 
haya mambo mengine ni vigumu kuyaongea.
Kila mtu kisha wahi kupitia one night stand, regard the less kama na Memba wa JF au la.
Mkipiga show, mnabaki marafiki huku uhusiano ukifa taratibu
 
Bujibuji leo thread zako nimenifurahisha sana, wonders shall never end hasa kwako wewe maana una vituko sana
 
Nilisema sitachangia mada za JF kwa mwaka mzima lakini hii ya leo imenivutia, lakini kabla sijaendelea naomba nikuulize Buji buji,lengo la swali lako lilikuwa ni nini ili nikishajua lengo lako nami nitoe yaliyonikaa moyoni.
 
haya mambo mengine ni vigumu kuyaongea.
Kila mtu kisha wahi kupitia one night stand, regard the less kama na Memba wa JF au la.
Mkipiga show, mnabaki marafiki huku uhusiano ukifa taratibu

......Tatizo Naz Buji alivyoweka members wa JF ndo imekimbiza watu but nadhani ana ujumbe muhimu sana hapa hasa kwa mapenzi na mahusiano. Na JF ni kama sehemu nyingine za makutano ambazo mahusiano yanaweza kuzaliwa. Watu wanaogopa bure tu.

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi watu mwawezakuwa ni marafiki wa kawaida na bahati mbaya (either ulevi) au tu kuzidiwa mkajikuta mme-enda extra miles .............then does it mean mahusiano yenu ya awali yanabadilika?? mtaacha kuwa marafiki kama mlivyokuwa mwanzo? (unless kuna hard feelings). Ndivyo mie nilivyomwelewa shemeji hapa.
 
Code:
Tunadanganyana,
navojua baby ni mtoto mdogo tena asieweza hata kuongea, sasa inakuaje  leo watu wazima tunadanganyana kwa kuitana majina ya ajabuajabu? Mfano  sweet/tamu, kwani kuna mchungu au mchachu?
Mamy/mama, kwani umenizaa?
Honey/asali, kwani mi nimetengenezwa na asali?
 
Jamani situitane tu majina yetu? Hivi ukiniita Mujuni ndo nitaona kuwa  hunipendi? Au ndo stimu hazitakuja? Kwa nini tunadanganyana wakati  asilimia kubwa hata hawamaanishi wanachokisema?
 
 
Please, may I submit this thread?

Jaribu halafu utujuze ingawaje two experiences lkazima zitakuwa ni tofauti kabisa kwa sababu wahusika ni tofauti na matarajio yao vile vile ni tofauti............................
 
Leo nimeingia kwenye hii thread more than four times, really haichoshi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom