One night stand with JF member

One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
You see. I am actually against Gaddafi since day one. Cheki posts zangu hasa before the flyzone au cheki with my colleague Uwezo Tunao, Askari Kanzu, Tanmo, Nonda, etc at the International Forum. Na kama ningebaki na ile avatat ya Gadaffi usingesema mie mtanashati.


That is it ndo mana tunarudi kulekule niliko sema hizo assumptions zaweza kua right or wrong...siku zinavyozidi kwenda tunabakilisha maoni juu ya wahusika... bora umenijibu mapema for sasa ningechemka kwa The Boss, hapa umenivua confidence zoote...lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
that is it ndo mana tunarudi kulekule niliko sema hizo assumptions zaweza kua right or wrong...siku zinavyozidi kwenda tunabakilisha maoni juu ya wahusika... Bora umenijibu mapema for sasa ningechemka kwa the boss, hapa umenivua confidence zoote...lol


ninachotaka kwako sio accurate analysis
jusy ur analysis...
How people sees you always is not the same with how we sees ourselves
.
 
Mtaanza kuwatisha watu waliokuwa na nia ya kutafuta wapenzi humu sasa.

Mkuu kuna Wanawake wa maana sana hapa jamvini ambao wanafaa kabisa kuwa wapenzi, wachumba na hata wake. Sidhani kama hii thread inaweza kuwa chanzo cha kuwaogopesha wanaJF kutafuta wenziwao waliopo hapa jamvini.
 
Partner wanaume wa sikuhizi wanaangalia miaka basi....hata kikongwe wanakaba kabari unadhani mchezo!!
We bado saaaaana!

Lizzy kama huyu. Imagine unamkuta Asha D anakatiza mitaa ya Samora na kikongwe kama huyu. Haa haa haaaa. Anzia dakika ya tatu.

 
Last edited by a moderator:
the boss the best i can do today ni kua unapenda art hasa realistic... Unapenda reading books... Unapenda kuangalia movies

nahisi i am giving you some tensions...
I wonder ..is it sexual tensions??????lol
but thanx anyway....
 
Hahahahaha LoL! nani amekwambia Lizzy kama maini yanazeeka? hahahahah lol!

hahahhaah...inabidi uzee uambatanishe vyote kwa pamoja maana mtu unaweza ukajikuta uchochoroni na mzee tu ukaona hapa hamna shida alafu mambo yakawa si mambo!
 
Mkuu kuna Wanawake wa maana sana hapa jamvini ambao wanafaa kabisa kuwa wapenzi, wachumba na hata wake. Sidhani kama hii thread inaweza kuwa chanzo cha kuwaogopesha wanaJF kutafuta wenziwao waliopo hapa jamvini.
kweli kabisa msiwaogopeshe, na nyie vijana msiwadanganye wenzenu mkawapa machungu ya moyo, unashangaa tu mtu umezoea kumuona jamvini mara kaishia kabisa kumbe keshatendwa anaona jukwaa chungu lol!
 
Wazee nao huwa wanavizia mitaani siku hizi.


Sio wenye heshima zao bana EMT... wapo but they are out of my league... Huko niliondoka siku nyingi... there is a time one has to grow up!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu kuna Wanawake wa maana sana hapa jamvini ambao wanafaa kabisa kuwa wapenzi, wachumba na hata wake. Sidhani kama hii thread inaweza kuwa chanzo cha kuwaogopesha wanaJF kutafuta wenziwao waliopo hapa jamvini.
Mkuu si unajua mambo ya samaki mmoja akioza...... Sasa baadhi hawakawii kutujumlisha wote kwenye kundi la wasaka one night stand lol...!!
 
mkuu kuna wanawake wa maana sana hapa jamvini ambao wanafaa kabisa kuwa wapenzi, wachumba na hata wake. Sidhani kama hii thread inaweza kuwa chanzo cha kuwaogopesha wanajf kutafuta wenziwao waliopo hapa jamvini.


mkuu napenda neno jamvini ulivyolitumia hapo...lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom