One night stand with JF member

One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
aaah wapi dear... wakati na ujana wangu ulisha pita siku nyiiingi hamna mtu atanisogelea kwa hizo statement...
Partner wanaume wa sikuhizi wanaangalia miaka basi....hata kikongwe wanakaba kabari unadhani mchezo!!
We bado saaaaana!
 
Wanawake wengi kutopanda mlima Kilimanjaro ni janga la kitaifa. Wanasiasa sijui hawalioni hili?
mi nashangaa wanasiasa hawalioni wakiona chama kimepoteza umaarufu wanahamia chama cha upinzani
 
I don't know you... but through Avatar na posts i can tell this...

Politically katika inchi yetu unaboreka na hali ilivyo to the extent you don't bother kua interested wala to take measures...

International politics... you are so against the Westerners to the extent unajua kua Gaddafi ni dictator but unaona bora yake kuliko hao Big powers..

Electronic devices... kwako ni za muhimu mno... achana na mambo ya JF but unapenda networking saana tu....

Nahisi ni mkaka ambae ni mtanashati, kama wewe si mtanashati usingekua comfy kumweka that mtanashati kaka as an Avatar..

With time i will get more...

You see. I am actually against Gaddafi since day one. Cheki posts zangu hasa before the flyzone au cheki with my colleague Uwezo Tunao, Askari Kanzu, Tanmo, Nonda, etc at the International Forum. Na kama ningebaki na ile avatat ya Gadaffi usingesema mie mtanashati.
 
Partner wanaume wa sikuhizi wanaangalia miaka basi....hata kikongwe wanakaba kabari unadhani mchezo!!
We bado saaaaana!


Kweli Partner... itabidi niwe makini kidogo.... Asante dear... ila nawewe usidhubutu...
 
aaah wapi dear... wakati na ujana wangu ulisha pita siku nyiiingi hamna mtu atanisogelea kwa hizo statement...

Wazee nao huwa wanavizia mitaani siku hizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom