One dead, Ten hurt in grenade attack at Kenyan Church

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
A grenade wounded 10 people at a church on Sunday in a working class area of the Kenyan capital, police said.

“Somebody threw a hand grenade into a congregation inside the church and 10 of them were injured and rushed to various hospitals by the other worshippers,” Charles Owino, deputy spokesman for the Kenyan police told Reuters.

Source: Reuters (Reporting by James Macharia; Editing by Janet Lawrence)
 
Duh mbaya sana hawa al-shaabab na magaidi wengineo sijui wana tafuta nini hasa, tumewachoka kwa kweli, poleni majeruhi na watu wao wa karibu MUNGU awasaidie mpone mapema maana mlikuwa hekaluni mwake na wala siyo bar au kwengineko
 
Uchaguzi karibu nini? maana sisa za Kikenya ni kuuwana tu. Mmesahau Kikwete alivyokwenda kuwapatanisha.
 
Uchaguzi karibu nini? maana sisa za Kikenya ni kuuwana tu. Mmesahau Kikwete alivyokwenda kuwapatanisha.

Afadhali hata ungekaa kimya tu. Adui mkubwa wa Kenya leo ni al-shabab wewe unatuletea mambo ya siasa. Wapi na wapi!
 
Pole kwa waathirika wote.
Kwa upande wa Kenya, ikiwa ni al-Shabaab, hawa wanapaswa washughulikiwe ipaswavyao. Na nimeshaonya mara kadhaa hapa kuwa hilo si jukumu la Kenya pekee bali hasa nchi zote za Pembe ya Afrika na Mwambao wa bahari ya Hindi na Afrika kwa jumla.

Ikiwa ni vurugu ziinazosababishwa na Wakenya wenyewe, yaliyowafika baada ya uchaguzi wa 2007 yangetosha kuwa ni somo kwao - maelfu ya watu waliouwawa na malaki waliokimbia makazi yao mpaka hadi leo wameshindwa kuwarejesha/ kuwarejeshea makazi.

Kwa upande wa Tanzania, mvua huaza na manyunyu. Tunapaswa kujifunza na hili la vurugu za Kenya kwani mauaji yanayotokea siku hizi ya viongozi wa vyama hayaashirii hatma nzuri. Vyombo vya usalama vinaweza kupuuza, lakini waliopoteza watu wao hawatapuza - watu wataishia kulipizana visasi na cheche ndogo baadae huko mbele inaweza kuwasha moto usiozimika kirahisi.
 
Afadhali hata ungekaa kimya tu. Adui mkubwa wa Kenya leo ni al-shabab wewe unatuletea mambo ya siasa. Wapi na wapi!

yani kenya wameshindwa kuwazuia hao wasomali kuingia nchini mwao...wanafanya hata kwenda mombasa saivi ni ishu
 
610x.jpg

Kenyan paramilitary personnel control the crowd after a grenade attack on a church in downtown Nairobi, Kenya, Sunday, April 29, 2012, where 1 person died and more than a dozen were injured.
610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg
 
the problem of al shabab infiltrition back to nairobi has been caused by the KDF lack of a decisive blow to alshabab in during the initial invasion they would have rapidly advanced and eradicated al shabab from entire southern somalia these attacks would have been prevented. the sluggish nature of the invasion and conduit of the war is to blame. that said throwing a grenade is simple but in daylight alot of questions have to be asked about the security intelligence
 
Naona wanataka kuleta mambo ya boko haram hapo kenya-
nazan wasomali watakuwa wanahusika hapa
 
Naona wanataka kuleta mambo ya boko haram hapo kenya-
nazan wasomali watakuwa wanahusika hapa

si lazima iwe ni wasomali,nadhani ni mkenya tu,walioshuhudia wangesema. lakini nakubaliana wanaweza kuwa wanajairibu kuleta hu boko haram lakini huwezi kenya asilimia 90 ni wakristo si kama nigeria kule ni sawa idadi ya wakristo na waislamu
 
nadhani hata nigeria ilianza hivihivi.
Mkuu unaenda nje? Zanzibar wanachoma Makanisa, Maduka ya Wabara, Bar na mahoteli, mwaka jana tu matukio kama haya yalikuwa majengo zaidi ya 100. Hebu google kwa uhakika.
 
the problem of al shabab infiltrition back to nairobi has been caused by the KDF lack of a decisive blow to alshabab in during the initial invasion they would have rapidly advanced and eradicated al shabab from entire southern somalia these attacks would have been prevented. the sluggish nature of the invasion and conduit of the war is to blame. that said throwing a grenade is simple but in daylight alot of questions have to be asked about the security intelligence
Nairoberry...

How u doing?...:yo:

Seriously speaking, how do you know that al shabaab carried out this attack
in reference to your post above:

Ab-Titchaz.
 
Last edited by a moderator:
DnChurchAttack2904.jpg

The scene at the God House of Miracle Church in Nairobi, Ngara area where one worshipper died and ten others were seriously injured in a grenade attack on April 29,2012.

DnChurchAttack2904e.jpg

DnChurchAttack2904rd.jpg

Police Guard off the entrance of God House of Miracle Church in Nairobi, Ngara area where one worshipper died and ten others were seriously injured in a grenade attack the scene on April 29,2012.

DnChurchattack2904rs.jpg

Aerial view of the scene of God House of Miracle Church in Nairobi, Ngara area where one worshipper died and ten others seriously injured in a grenade attack on April 29,2012 .
 
RIP marehemu,:amen:

The church seems to be in a relative isolated location making it a prime target to such murderous acts. Having said that though, it is premature to conclude that Alshabaab is involved.
 
Uchaguzi karibu nini? maana sisa za Kikenya ni kuuwana tu. Mmesahau Kikwete alivyokwenda kuwapatanisha.

kaa kimya... tanzania ndio tunawaua wafuasi wa chadema kwasababu ya siasa

kenya tatizo lao ni aishababu, amabo wewe unawasapoti
 
Back
Top Bottom