One day

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Ipo siku watoto wa kiafrika watakuwa wanapata lishe bora kama tukifanya maamuzi magumu ya kujivua umaskinigamba
 

Attachments

  • gal_guinness_kids[1].jpg
    gal_guinness_kids[1].jpg
    44.5 KB · Views: 306
Ipo siku watoto wa kiafrika watakuwa wanapata lishe bora kama tukifanya maamuzi magumu ya kujivua umaskinigamba
Sasa hawa watoto unawaona wana afya nzuri ao wanaumwa? they are over weighted na hatarini ku-develop magonjwa mengi. Hii sio afya nzuri, ni uzembe wa wazazi
 
hiyo sio afya na lishe itayowafanya watoto wetu wafikie hapo hatuitaki eee mungu tusaidie
 
Hiko sio kitu cha kuomba kabisa, na wala sio afya njema na mlo kamili hapo, super size me? No way, hiki kitu wenzetu wanatumia hela nyingi na kampeni kutokomeza, sio kitu kizuri hicho hata kidogo
 
Hayo ni maradhi kama siyo moyo mkubwa, au mdogo na mengine mengi yakuambatana na mwili na hayo mafuta futa yao.
 
kama hiki ndo kipimo cha afya ya watoto waliolelewa maisha bora, naomba Mungu akujalie watoto kama hawa.
 
kama mmeliona hilowana JF basi sawa huo ni ugonjwa mbaya ambao hapa bongo kuna watu hasa wenye nazo wanawaachia watoto kula kupita kiasi matokeo yake wanapata kisukari nk basi tuwe makini zaidi
 
kweli baadhi ya watanzania bado hawelewi mambo..! pamoja na wataalamu wa afya kufafanua madhara ya magonjwa yatokanayo na unene lakini bado mtanzania huyu anausifia unene kuwa ni afya itokanayo na lishe bora.aah hata wewe msomi? ulieweza kujiunga na JF?
 
mkuu kipimo cha afya kwako ni obesity...ndo mana wengi wetu tukipata vijisent tunaanza kwa kufuga vitambie?
 
Back
Top Bottom