^^
Mapenzi yamepatwa na vita ya tatu ya usaliti
^^
tujuze vita 2 za mwanzo
^^
1. Mapenzi ya adam na Eva ambayo kwayo wanatuhukumu ambao hata hatujui ilikuwaje
2. Pesa! Hii ni vita kali
True love is on sale
(just my thinking No bibliography attached)
^^
Sasa hivi imefika kipindi, "mke wa mtu analiwa na mume wa mtu" na kinyume chake
I agree with you. Nikama mtu anaepiga mwanamke hawezi kuacha labda kwa miujiza ya Mungu. Inakuwa hivi....anacheat.....anaomba msamaha......anakubaliwa.......wanakuwa na furaha........anacheat tena. Na hata wanapiga inakuwa hivyohivyo.....anakupiga.....anaomba msamaha......unamsamehe.......mnakuwa kwenye furaha.....anakupiga tena. Inabidi kujiondoa kwenye circle tu. Halafu hao majitu ya hivyo yanajua kuomba msamaha hatari