Hahahahaha jamaa anaienzi siku vizuri..Kasoro shati na kitambulisho
[emoji15] [emoji15] duuuh wiki nzimaHalafu akae nayo wiki
Duniani kuna record za ajabu sana aiseeSi anataka kuvunja record?
hahahaha km ni wangu namtoaa nduki hatareeeee
Hawa wanafaa kuwa mume na mke kabisa