On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!


Pia alichofanya huyu ni uzuzu.Kalonzo Musyoka amekua waziri wa mambo ya nje lakini kwenye diplomasia yuko empty.Ndiyo maana hata katika kipindi chake alishindwa kulinganisha na mawaziri wengine wa mambo ya nje kama Rafaeli Tuju au Moses Wetang'ula.

Hata shuttle Diplomacy accross Africa aliyokua akiifanya alishindwa kwa kuwa hata zile basic elements za Diplomacy zinamshinda.

ababu tunazoziongelea hapa za kidiplomasia ni tata sana na ndiyo maaana ikitokea Mwanasiasa wa Tanzania au nchi nyingine akitafuta hifadhi ya kisiasa nje (political asylum) huwa inakua ngumu kumkatalia au kumkubalia na serikali mwenyeji kwa kuwa wanaogopa incase aende kwingine halafu baadae akafanikiwa kujipanga na kurudi kuipindua nchi yake akawa Rais itakuaje kwa nchi iliyomkatalia?Ama incase,wampokee uhusiano wao na Rais au utawala wa nchi aliyotoka na serikali mwenyeji(host country) itakuaje. Ndiyo maana aliyekuwa Balozi wa Rwanda India,General Nyamwasa alipokimbilia Uganda ilibidi atorokee South Africa.

Hii tabia ya viongozi wa Tanzania kukurupua kwenye masuala ya kimataifa kwa selfish interest na kuchanganya protocal itakuja kututia katika matatizo yasiyo na sababu.

Nilipogombea uenyekiti wa BAVICHA katika tamko langu nilionya juu ya serikali yetu kukurupuka na kuingilia mambo bila kufikiria.Leo hii kama wakenya wataamua kumpigia kura kenyatta na Rutto itatoa ujumbe kwamba wamemkataa Odinga na na serikali ya Tanzania(incase Wizara ya mambo ya nje isipotoa tafsiri sahihi hapa).Hii itakua Diplomatic blow

Pia kwa Matamshi ya Magufuli kwamba Odinga angegombea Ubunge jimbo la Chato basi yeye asingethubutu kuchukua fomu ni kauli ya kipuuzi kwangu hii ni the most stupid statement kutoka kwa mwanasiasa wa ngazi ya juu.Kuongelea ubunge ukiwa katika platform ambayo ni presidential ni diplomatic Insult.

Kauli hii pia inamuweka Magufuli katika hali mbaya incase ana pango wa kugombea Urais.Tayari tutakua na mtu ambaye ni Inferior anayetaka kuja kutuongoza kupambana kiuchumi na Kenya ambaye ni rival wetu kiuchumi hapa Africa Mashariki.Hili litakua ni tusi la kidiploamsia na pia pride yetu katika region inakuwa demoralized.Hiyo itatoa taswira ambayo ni awkward kwa Taifa
 

Nimegundua kuwa kwa bahati mbaya sana hukusikiliza hotuba ya Magufuli kwenye huo mkutano. Mimi nilimsikia angalau kidogo, na mongoni mwa mengi aliyoyasema alisema " .......Watanzania wangependa wewe Raila uwe rais wa Kenya baada ya uchaguzi wa March....." Ndiyo maana CDM wanauliza alitumwa na JK ama CCM. Hamna pa kutokea anapaswa kusema wazi.
 
Tatizo hapa hamjaliona? Tatizo ni Dogo mno. Wenje Mjaluo wa Tanzania ila inasemekana uraia wake una utata na hata yeye aliwahi kukubali yaishe wakati wa kampeni na Mh. Lau Masha, upande wa pili Wenje anatoka Upinzani Kama ODM Huko Kenya Ila Issue hapa Raila Odinga Mjaluo Wenje nae Mjaluo Wote wapo upinzani kwenye Nchi zao Sasa kinachomumiza Moyo Mjaluo Wetu kwanini hakualikwa yeye na Omera mwenzake ili hali wote wapo Upinzani? Ni Hilo tu.Wenje yeye mwenyewe Mkenya Kukosa Mzee R A Mengi kukufadhili wala Ubunge usingepata
 


Umeamua kukaa 'uchi'adharani mkuu!!!!!??
 

Kumbeeee ! sikuwa najua Wenje ni Mjaluo but nakumbuka kipindi fulani alimkaribisha Nyadongo mwenzake aje pale Mwanza kufanya fund mobilisation kwa ajili ya ujenzi wa shule za msingi but Odinga hakutokea pengine hasira za Wenje sina hakika- Mh. Wenje pata picha hapa upate mzuka mwingine wa kutoa tamko:

 

Attachments

  • ODM 2.JPG
    1.3 MB · Views: 39
Ukinisoma vizuri, utaelewa tupo pamoja. Soma tena ujumbe wangu.....
 
Huyu aliyeandika hapa juu naye ni great thinker kweli,
Hakuna sheria inayokataza kiongozi wa serikari nyingine kupewa mwaliko na serikari nyingine. Kiongozi anaweza akaenda nchi ya nje kwa mwaliko wa kiserikari au sio wa kiserikari, anaweza akaenda kama kiongozi, mtalii au mfanya biashara, hata mpelelezi. Kinachohojiwa ni vazi gani alivaa na amefanya nini kule. Magufuli alienda kama nani, waziri wa mambo ya nje? Au katibu wa mahusiano wa ccm?
 
Kweli bila CHADEMA Imara,Tanzania tutaharibu mahusiano yetu kimataifa bila sababu za msingi.Yaani juzi tu hapo Mzee Mkapa (M/kiti mstaafu wa ccm) alikuwa mjumbe wa kuhamasisha na kupatanisha makundi hasimu nchini Kenya lakini leo,Waziri Magufuri (ccm) anampigia upatu mgombea Wa chama fulani? Hata mkisema Magufuri alijituma binafsi haingii akilini labda angekuwa siyo public figure.Hongereni CHADEMA kwa kuwafunza ccm kuhusu siasa za kimataifa kwa maslahi ya usalama wa nchi.
 

Hivi kwa nini CDM hatukwenda/kuwakilishwa uzinduzi kampeni za ODM tunabaki kuunguruma kupitia JF! hii nia ibu ona jamaa picha zake


View attachment 74939
 

Attachments

  • ODM 5.JPG
    911.4 KB · Views: 45

View attachment 74948
 
Mimi naona kuna mpango wa siri wa Jumuiya ya kimataifa (Marekani na ulaya hasa) wa kukubaliana na Kibaki ili amuachie madaraka Odinga ili Kibaki aweze kupata kinga ya kutoburutwa the Hague kwa uhalifu wa mauaji ya wakenya kwenye uchaguzi uliopita. Vinginevyo sielewi kwa nini serikali ya Kibaki ikae kimya kwenye suala tata kama hilo.

CCM ni marafiki wakubwa wa Mugabe. Isingewezekana CCM kumruhusu Magufuli kukaa meza moja na Tsvangirai kufanya kampeni za mtazamo mmoja wa kisiasa kwani hiyo ingetoa picha Kwa Zimbabwe kwamba CCM lao moja na Tsvangirai.

Inaonekana CCM wamepata go ahead kutoka kwa Kibaki na pengine kuhitajiwa na mataifa ya magharibi kufanya hivyo ili kumuongezea nguvu Odinga.

Vyovyote vile itakavyokuwa, huu ni mchezo hatari sana kwa nchi yetu kwani tunaweka rehani ka nchi ketu haka masikini kwa kukaingiza kwenye michezo michafu ya siasa za kimataifa.

Kanchi masikini haka viongozi waandamizi wanapata wapi muda wa kwenda kupiga domo kaya kwenye nchi za watu ambazo ni tajiri kuliko sisi?
 

Dah! Hapo kwenye
red; Ni kweli Magufuli alitamka hivyo? Kumbe alienda kwa niaba ya Taifa na sio safari ya kibinafsi kama baadhi ya magamba wanavyotaka kuzusha ili "kusawazisha" mambo. Kama hayo maneno yalitamkwa na Magufuli - Chadema wako sahihi; maelezo na ufafanuzi wa kina vinahitajika.
 
tena alikwenda na gari ya serikali ya Jamuhuri ya tanzania
 

inaonyesha hukumsikiliza magufuli,"magufuli alitamka serikali ya ccm iko pamoja na ODM , na pia ccm ipo kuhakikisha ina safisha kioo cha mbel ya gari ipite kama anavyofanya raila".haya matamshi hayawezi kuwa ya kimajungu, lazima yahojiwe, na waziri wa mambo ya nje anatakiwa kuzungumzia hili la ukiukwaji wa maazimiao ya un tamko la rome.Punguza propaganda chadema huwa hawakurupuki, waachie wanaojua siasa, kuliko unavyochambua mdau

 
Tafadhali naomba uweke hapa clip ya magufuli akisema kuwa CCM ipo pamoja na ODM, iwapo utathibitisha naomba mimi nipigwe ban ya mwezi na pia wewe ukishindwa upigwe BAN. Mie nilifatilia endosrsement ya RAILA kupitioa citizen TV on line kwa mahali nilipo, sikusikia magufuli akiitaja CCM mahali popote, kama ni ushabiki shabiki ni wewe unayekurupuka na kuchangia usichoelewa.

Magufuli yupo sahihi kwenda popote pale hata RWANDA kuhutubia mkutano wa Kagame, yeye ni mtu huru kama yeyote yule ana haki ya kuwa na rafiki na kumuunga mkono kwa lolote.

Ni unafiki kuamini kuwa tamko likitolewa na chama fulani cha SIASA either siku zote linakuwa sahihi au siku zote linakuwa sio sahihi, hapa ndi mantiki ya kuhoji na kupima kwa weledi inaibuka.
 
hivi ni kipi kinachoshindikana kutoa ufafanuzi?sio dhambi kwa ccm au serikali ya ccm kumsupport raila ila tunataka kujua aliyetoa consent hiyo.kauli za namna hii zaweza kuipeleka nchi vitani ndio maana chadema na wananchi kwa ujumla wanahitaji ufafanuzi.
 

phd gani ambaye si mjuvi wa mambo muhimu ya sheria za nchi yake? Waziri yeyote anapotoa tamko maana yake serikali ndo imesema, hata kenya alienda kwa diplomatic passport hivyo 24 hrs yeye ni serikali na ndio maana mahali popote alipo anakuwa na ulinzi! Jipange hizo Phd zenu na Doctorate za kubumba jipangeni tena sanaaaaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…