Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
Naturally, kuna wanaume wa aina nne kutegemea na uwezo wao kingono:
1.Kundi la kwanza ni wale ambao wana uwezo mkubwa wa tendo la ndoa, yaani kwao erection is not an issue at all. Ukiolewa na mwanaume wa jinsi hii, jishike kweli kweli maana ni mwendo mdundo. Wanapenda mchezo kila siku, kila wakati hadi sometimes mwanamke anaona kero!
2. Kundi la pili ni la wale wenye uwezo wa wastani. Hawa wanaweza kuvumilia hata kama mtapanga ratiba yenu ya mchezo wenyewe.
3. Kundi la tatu ni la wale wenye uwezo mdogo wa kufanya tendo la ndoa. Hawa wanapata erection ya kuvizia. Wakati mwingine inabidi mwanamke afanyekazi ya ziada ili mzee asimame. Wanaume wengi wa kidhungu wako ktk kundi hili, nadhani wale mliowahi au mpo kwenye mahusiano na wanaume wa kidhungu mtakuwa mashahidi.
4. Kuna la nne ni la wale wasio na uwezo kabisa, yaani si riziki, nadhani wanaeleweka hivyo sina maelezo marefu kuhusu kundi hili.
Ushauri: ni muhimu kumjua mpenzi/mumeo yuko ktk kundi gani ili ujue namna ya kuishi naye vizuri kingono! Hii itasaidia kuepusha lawama na malalamiko ambayo yanatokana na nature.
Samahani kama ni marudio!
mito
wanaume bana sijui wakoje but thanks sana kwamba GY yeye ni namba 1. na
kwakua mm niko wa stail hizo basi tabu sipati hata kidogo.
kwetu mchezo wa matusi lazima uchezwe masaa 4 hadi 5 kwa siku moja.
inaitwa super excellent! angalizo dont try this kama siyo mtu wa
aerobics
Kwa hiyo criterion zilizo tumika hapa ni ability to create and sustain an erection, sio?
Ila kuna categorization inayo tegemea uwezo wa kukaa for long before ejaculation, kuna ambao unategemea ujuzi wa preliminaries, mngine wa ability to 'deliver' in different positions, ingine ya ukubwa/udogo wa uume ( Boflo alianza hii leo jukwaa la wakubwa), kuna inayo tgemea creativity and innovation skills (hapa ndio wale wa Kongosho na Preta wanakuja) etc.
I think that the best researches ni zile zinazo combine two or more of these criterion. sasa itakua hujwawatendea haki wanaume if you reduce them to just 4 categories, each of them has his own level of 'performance' based on a combination of many criterion and his sexual partner preferences.
Hiyo no 3 ndo umenifungua macho kumbe wadhungu ndo walivyooo ok.
Aii Kaizer, ninae bwana la'aziz kipande cha mzizi wangu!! tena ujiandae kutambulishwa. mpenzi wangu huyu ni rijari, nguvu asili hamna madiko diko..he he
Mi wangu ni kati ya namba 1-2.
akimaliza kukujibu wewe......na mimi aniambie kwa jikoni.......
akimaliza kukujibu wewe......na mimi aniambie kwa jikoni.......
Na mimi aniambie kwenye gari. Mnashtuka nini sasa??
Sasa kuna sisi wengine huwa kwenye hizo namba zako tunacheza namba 1,2,3 kulingana na ni mwanamke yupi unabed naye coz hawa watu wanatofautiana sana kwenye haya maswala, kuna mwanamke anaweza kukuvutia sana ila mkifika kwenye mchezo' ndiyo balaa linaanzia hapo. So ina depend na the way mwanamke alivyo coz kuna wengne ukimit nao hutaman ku...,
Excuse me??? let's pretend you never wrote that!:suspicious:For you Roulette which works best......stamina, technique, or selfishness in your man? Do not hide yourself behind .......ulichosikia...............am really frazzled by "
hearsays".......Am looking for practical experience from you........funguka.........lol
mito, ina maana kundi la nne hata hizi dawa zetu sa asili za kuongeza nguvu za kiume kama MZAKARU, ZOKA, FARU, MKUYATI, DUME, SHOKA, KAMANYOLA, KAMCHAPE na kadhalika, zote hazifui dafu kweli?
Kwa hiyo mtoa mada unatushauri tuwe tunajaribishana kwanza kabla ya kuona ili kupimana nguvu na kuona kama tuko-compatible to each other? Maana ukioa/olewa na mtu ambaye hujui mapigo yake si ndo inakuwa mwanzao wa kizazaa kwenye ndoa.