On bed kuna wanaume wa aina nne

On bed kuna wanaume wa aina nne

utajitambuaje uko kundi gani? si mpka demu wangu aniambie au? nataka nijitambue niko kwenye namba ngapi. 1,2,or 3 ngoja niseme na chausiku ataniambia niko wapi

Hata wewe mwenyewe unaweza kujijua uko kundi gani, we soma vizuri sifa za kila kundi utajielewa mwenyewe unapoangukia gani.
 
Wewe kundi gani au uliye nae kundi gani?
 
Nenda kajionee hapo koko beach au Q bar ndio utajua kuwa wadhungu hawawezi!
 
kwa wale ambao hawa-do mpaka wawe boosted na porn movies je? kundi gani hao?

Hao wako kundi la tatu, ndo wale wenye erection za kuvizia vizia. Hivyo usishangae ukiwa uko bize unapika ghafla anakustopisha na kukuvutia chumbani haraka haraka - maana akichelewa tu inazimika!!!
 
mito wanaume bana sijui wakoje but thanks sana kwamba GY yeye ni namba 1. na kwakua mm niko wa stail hizo basi tabu sipati hata kidogo.

kwetu mchezo wa matusi lazima uchezwe masaa 4 hadi 5 kwa siku moja. inaitwa super excellent! angalizo dont try this kama siyo mtu wa aerobics
 
Last edited by a moderator:

Hongera gfsonwin kwa kupata wa kundi la kwanza, tena mlinde kwa nguvu zote asije akajichakachua akaharibu urijali wake!
 
mito, ina maana kundi la nne hata hizi dawa zetu sa asili za kuongeza nguvu za kiume kama MZAKARU, ZOKA, FARU, MKUYATI, DUME, SHOKA, KAMANYOLA, KAMCHAPE na kadhalika, zote hazifui dafu kweli?

mkuu inaonekana wewe ni mtaalamu wa dawa za kuongeza nguvu za kiume.Duu kuna dawa inaitwa KAMCHAPE.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo criterion zilizo tumika hapa ni ability to create and sustain an erection, sio?

Ila kuna categorization inayo tegemea uwezo wa kukaa for long before ejaculation, kuna ambao unategemea ujuzi wa preliminaries, mngine wa ability to 'deliver' in different positions, ingine ya ukubwa/udogo wa uume ( Boflo alianza hii leo jukwaa la wakubwa), kuna inayo tgemea creativity and innovation skills (hapa ndio wale wa Kongosho na Preta wanakuja) etc.

I think that the best researches ni zile zinazo combine two or more of these criterion. sasa itakua hujwawatendea haki wanaume if you reduce them to just 4 categories, each of them has his own level of 'performance' based on a combination of many criterion and his sexual partner preferences.
 
Last edited by a moderator:
mkuu inaonekana wewe ni mtaalamu wa dawa za kuongeza nguvu za kiume.Duu kuna dawa inaitwa KAMCHAPE.
Hiyo ya dawa ya KAMCHAPE ukiinywa na supu na nundu ya ng'ombe, hailali mwanawane..................
 
Kwa hiyo criterion zilizo tumika hapa ni ability to create and sustain an erection, sio?

Ila kuna categorization inayo tegemea uwezo wa kukaa for long before ejaculation, kuna ambao unategemea ujuzi wa preliminaries, mngine wa ability to 'deliver' in different positions, ingine ya ukubwa/udogo wa uume (@Boflo alianza hii leo jukwaa la wakubwa), kuna inayo tgemea creativuty and inovation skills (hapa ndio wale wa Kongosho na Preta wanakuja) etc.

I think that the best researches ni zile zinazo combine two or more of these criterion. sasa itakua hujwawatendea haki wanaume if you reduce them to just 4 categories, each of them has his own level of 'performance' based on a combination of many criterion and his sexual partner preferences.

Zimwage hapa mkuu tuzijadili na kuelimishwa zaidi
 
Hiyo ya dawa ya KAMCHAPE ukiinywa na supu na nundu ya ng'ombe, hailali mwanawane..................

Kuna jamaa alikunywa dawa ya kuongeza nguvu, halafu demu hakutokea dah, mziki wake nusura abake ........
 
Kwa hiyo mtoa mada unatushauri tuwe tunajaribishana kwanza kabla ya kuona ili kupimana nguvu na kuona kama tuko-compatible to each other? Maana ukioa/olewa na mtu ambaye hujui mapigo yake si ndo inakuwa mwanzao wa kizazaa kwenye ndoa.
 
Aii Kaizer, ninae bwana la'aziz kipande cha mzizi wangu!! tena ujiandae kutambulishwa. mpenzi wangu huyu ni rijari, nguvu asili hamna madiko diko..he he

haya BelindaJacob lakini tumetoka mbali tutaona niwe wapi kama yeye ni kipande cha mzizi mi nitakuwa shina maana na mimi ninacho changu lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom