MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,295
- 39,977
Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye?
View: https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
View: https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/