Wakuu usilo lijua ni usiku wa giza!
Ila wasanii wengi wameharibika na waliowaharibu ni matajiri na Watu wakubwa!
Mnashangaa Omy ambaye ni mzoefu na ameishaanza hata kuikubali hali, wapo wengine mkiambiwa hamtaamini.
Kuna baadhi ya matajiri ambao wanaamini ili wawe juu ni sharti kuwaingilia stars wakiwemo mzee Machache, Mzee Resa, Bara blue wa Tioot, bro jasiri mwongoza njia, Mr February nk hawa wamewaharibu sana wasanii. waanga ni mchungaji wa mawingu, 12b, VT oya, big bro Afri Tall, ksiJu, Hipop Mwamba Kusini, queen baki, Mrs Blu nk. Joti akiwa na the comed aliwahi wasanue wabongo kuhusu tajiri aliokuwa anawanunulia magari wasanii wakiume then alikuwa anawapeleka Dubai kisha kuwaomba ua. Tatizo hili kwa stars limeanzia marekani then Europe, Asia na sasa linaingia Afrika kwa kasi. kumbukeni P Diddy ambaye kutokana na sababu za kiimani amewarukia vigogo na wasaniii kibao wa US Europe na Afrika wakiwemo akina bana girl. Eti ili ufanikiwe ni sharti ubarikiwe na Diddy.
Hali ni mbaya kama isemavyo, hivyo tusishupaze shingo tuvilinde vizazi vyetu. kubwa ni kuwaanda vijana wetu wasiwe na tamaa ya umaarufu au utajiri wa burebure.
Kuna matajiri wawili kati ya niliowataja walikuwa wakipelekewa mabinti warembo wanawafukuza madalali na mabinti, walikuwa hawataki mwanamke hata awe amebinuka vipi na hapo ndip kazia kwa wasanii ilipoanza.
Mungu wa Mbinguni bila wewe sisi wenyewe hatuwezi tulindie vizazi vyetu!