Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

Huyo anafanyaga private ili asiulizwe kuhusu kuzaa watoto. He's happy on the outside ila nje atakuwa the most depressed one. Imagine crew yako yote wamesha oa na kuzaa watoto.. Huwezi kukaa unakuwa happy ma watu wanakuzishia wewe chakula?
Ni kweli kabisa, ila mtu kama dimpozy hawez kosa demu, huyu haiwezi shindwa walau kupata hata demu wa kawaida tu achilia mastar, ni yeye tu anasababu zake
 
Ni msanii Gani ana shuti au kupiga picha bila kujipodoa? Si msanii tu ushawahi kufanya interview kwenye media kubwa? Lazima wakupodoe unatengenezwa kwanza huendi TU kusimamisha kwenye kamera tu unaandaliwa sasa huko si kupodolewa seran vipi, hiyo Haina shida yote hiyo nikuweka sawa muonekano wa taswira Yako ili mashabiki wakuweke kwenye kundi zuri, ndio sababu unimuona msanii kwenye kamera ni tofauti na ukimuona hadharani
Kina professa J, Mr Blue pia ni wasanii na huenda wanafanyiwa hivyo ulivyosema...

Mbona hawajawahi kuzushiwa hizi skendo mkuu?

Huyu Ommy kuna kitu cha ziada watu wanaona, msimtetee sana.
 
Mwanamuziki wa Bongofleva, Ommy Dimpoz, 39, amefunga comments katika post zake nyingi kwenye ukurasa wake wa Instagram!.

Hiyo inamaana kwamba, hakuna shabiki au mtu yeyote anayeweza kutoa maoni yake kwenye post zake hasa za hivi karibuni.

Uamuzi huo umekuja baada Dudu Baya kumtuhumu Ommy Dimpoz kujihusisha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili.

Hata hivyo, Ommy Dimpoz akiongea kwa simu na MaiTV, alisema ameamua kumsamehe Dudu Baya na hana mpango wa kumfungulia mashtaka licha ya kushawishiwa kufanya hivyo.

View attachment 3676627
Aisee watu wanakula Raha, hiyo ni room Tu ya kulala?
 
Ni msanii Gani ana shuti au kupiga picha bila kujipodoa? Si msanii tu ushawahi kufanya interview kwenye media kubwa? Lazima wakupodoe unatengenezwa kwanza huendi TU kusimamisha kwenye kamera tu unaandaliwa sasa huko si kupodolewa seran vipi, hiyo Haina shida yote hiyo nikuweka sawa muonekano wa taswira Yako ili mashabiki wakuweke kwenye kundi zuri, ndio sababu unimuona msanii kwenye kamera ni tofauti na ukimuona hadharani
Hakuna TV Broadcasting ambayo hawafanyi facial makeup Itv, startv, Tv1, Azam, ZBC zote hizo nimefanya kazi nao na nilikuwa napigwa poda usoni hadi lipstic
 
Hakuna TV Broadcasting ambayo hawafanyi facial makeup Itv, startv, Tv1, Azam, ZBC zote hizo nimefanya kazi nao na nilikuwa napigwa poda usoni hadi lipstic
Safi ndio nilitaka nimjuze seran kuwa mambo ya make up ni kawaida sana kwa mastar, kawaida meno, coz ni part ya KAZI zao.

Mkuu we ni presenter au ulikua unaenda kwa mishe Gani mkuu
 
KWAMBA KIPA KATOKA Haaahaaah Hatushare stage na machoko
U BELA WOCHI U A BAKI MAMBA 24
MWISHO WA KUNUKUU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom