Omg

07_11_p3x5re.jpg
Hivi hawa wanaolia wanauhusiano ganio uliofichika hadi waguswe kiasi hicho? Kweli ni mapenzi ya chama na Mbunge wao tu? Ipo haja ya kutafiti tujue ninini kiko ndani.
 
kazimia?????? my god ila inawezekana pia
alizimia kwa furaha .manake hilo
gamba lilimsababishia awashe
kibatali mpaka umri huo sasa
amepata raha akajua umeme
huooo lool kaz kwelekweli
na kama kazimia ajili ya huyu
gamba hahahaha
namsikitikia saaaaaaaaaaaaaaaaana
 
07_11_p3x5re.jpg



INAELEKEA WANALIA WALIJUWA AMEKWENDA KUTANGAZA MAJIBU YA AFYA YAKE.......
 
Hii ni aibu ya kwao na familia zao..hawana haya watu wazima hawa..
 
nafkri watoto wao wanalia zaidi kuona mama zao kumlilia RA, kuna uwezakano mkubwa jamaa alikuwa anatoa hadi matumizi ya nyumbani kwao, hii si kawaida!
 
hao kina mama wanaficha sura kwa sbb wanajua wanachokifanya.
hao wote ni wa nzega na tunawafahamu walikodishiwa noah zikawapeleka igunga wakaalipwa chao wakalia na sasa wamesharudi.
 
Back
Top Bottom