Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Lowassa ni mwizi na kafulila ni mnafiki na njaa kali - kundi lile la kina Kubenea, Lissu, Mbowe, Msigwa na Lemaumerukia hoja hii tena?ile ya awali ya kuwasifia CCM umeikimbia?itafika mahali tulazimike kuwapima wafuasi wa CCM huenda mnamwili wa binadamu akili ya ngiri mnyama maarufu kwa kusahau haraka,
ila kwa kukusaidia kama unaona aliemnadi Kafulila ni gwiji wa rushwa mshauri mwenyekiti wako ampeleke mahakamani