Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
welcome back Mwafrika wa Kike....I really missed you!
Asante Ogah
Welcome Back!
You made me log on immediately. I had to double check whether this was today's post, just to make sure i ain't trippin'. Sorry wont talk about Mh. Mrema for now (mods will have to move my post if possible)
Hapa jamvini, ulituumiza roho wengine unajua... personally i was so worried where you were: https://www.jamiiforums.com/complai...ought-after-kadampinzan-mwafrika-wa-kike.html, i kept on asking, hamna hata mmoja aliyejua. Daaah, Welcome Back!
Here is something to get you goin':
YouTube - MASE - WELCOME BACK
SteveD.
Yaani Dada angu umekaa huko porini mpaka matukio ya kisiasa ya kakupita ukafikiri bado Mrema ana prevail kwenye anga la siasa???
Hutakua tofauti na Kijana mmoja aliekaa Ulaya muda mrefu kurudi Bongo anasalimiwa mambo anaitikia WAAA! badala ya POA,SHEGA nk
Umerudi .....naona watu walikuwa wanakutafuta sana
Ni kweli amanigk kuwa Mrema anafifia kisiasa (ukichukulia vita kubwa sana aliyopigwa na Mkapa na vijana wa TISS) lakini hekima zake na ujasiri wake ni hazina nzuri inayoweza kutumiwa na vijana wanaochipukia kisiasa CHADEMA na kwingine kote Tanzania.
Mimi binafsi sikuwa nakujua,,,, ila kuna mtu alulizia humu Mwafrika wa Kike yuko wapi,,, hata hivyo pia nakukaribisha
Mrema is no longer in game,,,, anachezea daraja la tano sijui!
Ila ukimwona sijui anajichubua siku hizi? CCM wamemchoka wamerudi kwa Mtikila sasa. Sisiemu wamegundua kuwa Watanzania wamemchoka wanataka kubadilisha sura ya mchezo kidogo,,,,, MTIKILA aka Mtanganyika, aka Mzee wa Ankara za EPA kwa Rostam, aka mzee wa mawe tarime.
Welcome back
Mrema ndiye aliyekidhoofisha Chadema mara ya kwanza.
Chadema ndio chama kilichokuwa na nguvu kuliko vyote vya upinzani kilipoanza.Kilipoanza kikiwa na wanachama Wachaga wengi kibao wenye uwezo mkubwa kifedha na mori wa kutaka mabadiliko.
Mrema kukataa Chadema na kwenda NCCR nadhani ilikuwa mbinu ya kiakili sana ya kuiua Chadema kiujanja ya kuhamisha wachaga wenye uwezo kutoka CHADEMA wamfuate NCCR kwa kuwa alikuwa mgombea Uraisi Mchaga mwenye nguvu aliyekuwa akielekea kuwa pengine aweza kushinda.Mbinu hiyo ilifanikiwa.
Alipoamua kugombea uraisi NCCR, kweli wachaga wengi na mali zao walihama CHADEMA wakaenda NCCR kumuunga mkono MREMA.Baada ya wengi kuhama Chadema, CHADEMA ilidhoofika ikawa chama dhaifu kisichokuwa na nguvu kabisa.Chama kikuu cha upinzani kikawa NCCR.
Alipofika NCCR alikivuruga hicho chama hadi akakisambaratisha na kwenda zake TLP akaendelee na ajenda zake za kusambaratisha.Alipohama NCCR kwenda TLP wachaga wenye uwezo wengi isipokuwa wachache wakagoma kuhama naye kwa kuona hana ajenda zaidi ya kuwapotezea muda na mali zao.Wengine wakaenda CCM,Wengine wakabaki NCCR,Wengine wakarudi CHADEMA na wengine wakaapa hawaji kugusa siasa tena kutokana na mali zao kupotea kwa michango ya chama au kujihusisha na Siasa kulikowaletea misukosuko na dola ya chama tawala kwa biashara zao kuathirika n.k
Bahati nzuri Mbowe aliposhika uenyekiti akaanza kujenga upya Chadema kwa nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya hadi kukirudisha enzi za utukufu wake na kuzidi hadi kufikisha hapo kwenye ushindi wa Tarime.
Sasa Utukufu wa Chadema umerudi mtu anasema Mrema aende tena Chadema kufanya nini? Watu wameshindwa uchaguzi sasa wanataka Mrema aende akaue Chadema!!!