Ombi Maalum kwa PAW

asant bestito nimeona kule umeniongezea thanks
be blessed

 
Ngoja nikugongee,
wakisema spread to others nitarudi kwako soonest the
next day.
Ila hilo neno hapo karibu na mwisho liangalie vizuri,niite mama
hivyo hivyo si unawajua wale madem zako walivyo na gubu.

Mamndenyi mamii nakudai rep, lol! nimetaka kukuongezea wameniambia spread to others first!!.... soooo, pay back fadhila!! hahahhaaaa!!!

ntarudi kwako mpenzi!
 
ehee kuna wadau ambao pesa yako imeongezeka?
 
mandenyi nimeona pesa zako! lolz.. ngoja nisambaze upendo kwanza kwa wengine then nitarudi kukuongezea...
 
Last edited by a moderator:
uran hivi unajua kuwa na mimi ni mmoja kati ya watu waliokuongezea vijisenti.Ukikutana na Paw mweleze hali halisi ilivyo,Ninatamani nimpe haya maagizo nani wake yule lakini kwa wivu wake ujumbe hataufikisha.
ehee kuna wadau ambao pesa yako imeongezeka?
 
Tayari nimefanya hivyo,
Nimeamini ile ya aliyenacho huongezwa.
hahahaaaa!!! mi ndo nimeanza kukugei bana ila wakanibana kwamba sambaza upendo kwa wengine kwanza! lols...

hivi mamii, ile proposal yetu imefikia wapi?.. usiniambie kuwa umeshau eeenh!
 
Ile proposal imeingiliwa sana na madogo
nimegairi kwanza.
hahahaaaa!!! mi ndo nimeanza kukugei bana ila wakanibana kwamba sambaza upendo kwa wengine kwanza! lols...

hivi mamii, ile proposal yetu imefikia wapi?.. usiniambie kuwa umeshau eeenh!
 
ladyfurahia nimekuona mrembo wangu,
asante zangu zikufikie popote pale ulipo
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia nashukuru kwa kuwa sehemu ya nyongeza ya income! thenkyooo! ntarudi kwa ajili yako..!!!
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimu wote, nami naomba mnipe hayo makitu. Ila Mamndenyi elewa kuwa Paw tulishamfukuza kazi siku nyingi sana!

Yuko pale Posta anauza magazeti.
 
Last edited by a moderator:

my dada namimi niangalie ya kwangu simu ya NOKLA inazngua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…