Ombi La kuonana na Rais Mstaafu Kikwete

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
12,226
2,000
Mkuu sio kula MTU unamuona eti kwa kuwa una mapenzi naye,tengeneza CV yako be somebody utapata urahisi wa kumuona.sio lazima use kwenye siasa angalia mfano akina Mpoki walikwenda Msoga kumcheki na kupiga story naye 2 tatu.
Akina Mpoki walipata fursa hiyo sio kutokana na majina yao bali kazi zao.
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,857
2,000
Hapafu Lowassa usemeje,Tanzania nzima MTU anayeongozwa kwa kupendwa na watu ukimtoa Nyerere ni Lowassa hata Kikwete analijiua hilo,wa 3 ndio Kikwete.
Kuna ukweli

Navyojua maradhi tu ndio yanamficha Baba wa Watu
Angeonekana km JK naamini upendo wa watu ungezidi
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,031
2,000
Miaka 35 ni miaka ya kujichimbia porini huko ukiandaa mazingira ya kuianza 40.

Kama miaka 35 bado una ndoto za kuonana na wanasiasa ukajilize jilize kwao aisee kuna shida mahali.

Lakini mkuu sikukatishi tamaa maana binadamu hatufanani,nenda pale udsm ana ofisi yake ukiweka appointment utaambiwa lini anakuepo umuone.
Mkuu nafikiri watu wanaoniponda humu kwa hili Ombi langu nililolileta hapa wana mtazamo na maoni kama yako,kuwa lengo langu ni "kujiliza Liza" kama ulivyoandika hapo,nikuthibitishie tu kuwa siko kama mnavyodhani..its just an appreciations only..
Nadhani nitapata furaha isiyo na kifani kwa kuonana nae.kuna vitu kadha wa kadha nitajifunza kutoka kwake ila sababu ya Wabongo mnatanguliza njaa mbele ndio mana kila kitu mnafikiri kwa namna ya njaa njaa tu..
Nikujuze tu kuwa mm ni muajiriwa kampuni moja hapa mjini Daslam ninachokipata Alhamdulillah familia mke na watoto si haba..Nina mengi ya kukujuza kuhusu mm ila naona haina tija naomba niishie tu hapa asante..
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,031
2,000
Hiki kitu mimi pia nilikitamani sana siku nyingi hata kabla hajastaafu lakini hadi leo sijafanikiwa kuonana naye. Naamini ipo siku lazima tu nitakutana naye mahali fulani halafu tutaongea. Kwanza huyu mtu ni mjukuu wangu na kama angekuwemo humu jukwaani, alitakiwa aniitume vocha ya simu hapa nilipo muda huu!
Ni MTU wa watu huyu Mzee hana Maneno na MTU,tunaojua umuhimu wake ktk hii nchi tunamuombea kwa Mungu azidi kumpa Maisha marefu kama ya Mzee Mwinyi mana hekima na busara zake bado tunazihitaji kama Nchi.
Vipo vingi vya kujifunza kwa huyu Mzee kama tu kichwa chako kinafanya kazi vizuri.naamini nitaonana nae tu Inshaallah
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,031
2,000
Unashilingi ngapi nikufanyie uwepesi umuone mzee fasta ndani ya wiki tu
Bahati mbaya sana si muumini wa kuamini kuwa fedha ndio kila kitu kuna vitu vingine Uvumilivu tu unatosha,asante kwa msaada wako Sheikh
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,031
2,000
Mkuu sio kula MTU unamuona eti kwa kuwa una mapenzi naye,tengeneza CV yako be somebody utapata urahisi wa kumuona.sio lazima use kwenye siasa angalia mfano akina Mpoki walikwenda Msoga kumcheki na kupiga story naye 2 tatu.
Akina Mpoki walipata fursa hiyo sio kutokana na majina yao bali kazi zao.
Mkuu nakuelewa sana si kila CV inaweza kukupatia unachokitaka pasipokuwa na connection, kuna baadhi ya kazi Nature yake inagoma kuLink na baadhi ya watu pasipokuwa na MTU wa kukushika mkono sidhani kama unanielewa lakini..
 
Truth Teller

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
1,308
2,000
Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika.Mm ni Kijana Mzalendo wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 35 sasa ninae vutiwa na Rais wetu Mstaafu wa awamu ya NNE Jakaya Mrisho Kikwete.
Nina Mapenzi makubwa na Rais huyu tangu nipate akili ya kujua siasa za Nchi hii mnamo mwaka 2002 na tangu nianze kupiga kura kwa Mara ya kwanza mwaka 2005.
Dhumuni LA kuonana nae ni kutaka kumueleza ni namna gani namkubali na kumuelewa,yeye ni "Rolu modo" wangu japo sina matumaini ya kuja kuwa kiongozi ktk Nchi yangu.
Moja ya Ndoto zangu ni kuonana na Kiongozi huyu ana kwa ana ikiwezekana na kupata japo picha.
Mm sio MTU wa Connection or mwenye hadhi ninaeweza kuja kukutana na kiongozi huyu hata kwa bahati mbaya,najua hapa wanapita watu mbalimbali naomba mwenye uwezo wa kunisaidia hili anisaidie.
Wasalaam.
Nenda chalinze.
chap utamuona..
au fika msoga. ukifika kwake eleza shida yako watakupangia appointment naye.

kama unaona njia hizo ndefu.
nenda chalinze fika kwa riz then utakamilisha utaratibu wa kumuona JK.

Nje ya hizo jilipue humu humu jukwaani wapambe wake watapita watamuonesha naye ata ridhia utapata PM.

Kwa msaada zaidi njoo PM

NB HEPUKA MATAPELI
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,135
2,000
Ni MTU wa watu huyu Mzee hana Maneno na MTU,tunaojua umuhimu wake ktk hii nchi tunamuombea kwa Mungu azidi kumpa Maisha marefu kama ya Mzee Mwinyi mana hekima na busara zake bado tunazihitaji kama Nchi.
Vipo vingi vya kujifunza kwa huyu Mzee kama tu kichwa chako kinafanya kazi vizuri.naamini nitaonana nae tu Inshaallah
Anaonekana ana roho nzuri sana.
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,031
2,000
Nenda chalinze.
chap utamuona..
au fika msoga. ukifika kwake eleza shida yako watakupangia appointment naye.

kama unaona njia hizo ndefu.
nenda chalinze fika kwa riz then utakamilisha utaratibu wa kumuona JK.

Nje ya hizo jilipue humu humu jukwaani wapambe wake watapita watamuonesha naye ata ridhia utapata PM.

Kwa msaada zaidi njoo PM

NB HEPUKA MATAPELI
Nashukuru kwa Ushauri Mkuu ntajaribu kuufanyia kazi

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom