Ombi La kuonana na Rais Mstaafu Kikwete

KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,857
2,000
Unaweza mpenda mtu kimya kimya tu..,,.

Ila JK ana nyotaa jmn.,
Binafsi nampenda personality yake..

Japo nikikutana nae live kummwambia sitaweza..ntafurahi tu kumuona.,
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,031
2,000
Unaweza mpenda mtu kimya kimya tu..,,.

Ila JK ana nyotaa jmn.,
Binafsi nampenda personality yake..

Japo nikikutana nae live kummwambia sitaweza..ntafurahi tu kumuona.,
Usiidhulumu nafsi yako Mkuu kwa kukaa na dukuduku moyoni mwako,ukimkubali MTU mwambie tu ajue ni tiba moja kubwa sana kwako na kwa muhusika mwenyewe.sio Leo yupo unajibana bana kesho hayupo ndio unaanza unafiki wa kusema alikuwa alikuwa mwambie ajue tu inampa moyo zaidi wa kufanya makubwa zaidi.
 
Latvia

JF-Expert Member
May 2, 2019
563
1,000
Huyo ana Wivu wakike unamsumbua Mkuu achana nae,sijui anataka niombe nikutane na babake??anasahau kuwa ni Dhahabu pekee na vito mbalimbali vya thamani ndio hutafutwa.
Wewe ni mjinga na taahira wa kutupwa. Huna hadhi ya kukutana hata na mdogo wangu wa mwisho. Acha shobo za kisee tafuta pesa.. Eti unaomba kuonana na X-Prezdaa una nini hasa cha maana we fala.. Kuwa makini utafi*wa.
 
test man

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
826
1,000
Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika.Mm ni Kijana Mzalendo wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 35 sasa ninae vutiwa na Rais wetu Mstaafu wa awamu ya NNE Jakaya Mrisho Kikwete.
Nina Mapenzi makubwa na Rais huyu tangu nipate akili ya kujua siasa za Nchi hii mnamo mwaka 2002 na tangu nianze kupiga kura kwa Mara ya kwanza mwaka 2005.
Dhumuni LA kuonana nae ni kutaka kumueleza ni namna gani namkubali na kumuelewa,yeye ni "Rolu modo" wangu japo sina matumaini ya kuja kuwa kiongozi ktk Nchi yangu.
Moja ya Ndoto zangu ni kuonana na Kiongozi huyu ana kwa ana ikiwezekana na kupata japo picha.
Mm sio MTU wa Connection or mwenye hadhi ninaeweza kuja kukutana na kiongozi huyu hata kwa bahati mbaya,najua hapa wanapita watu mbalimbali naomba mwenye uwezo wa kunisaidia hili anisaidie.
Wasalaam.
Unaota
 
saleni

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
359
500
Unaweza mpenda mtu kimya kimya tu..,,.

Ila JK ana nyotaa jmn.,
Binafsi nampenda personality yake..

Japo nikikutana nae live kummwambia sitaweza..ntafurahi tu kumuona.,
Mi mwenyewe nampenda, japo alikuwa rais Ila Mila hakuziacha, watoto wake wamefanyiwa Mila zote za kikwele, ingekuwa mwingine angesema zimepitwa na wakati.
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,857
2,000
Usiidhulumu nafsi yako Mkuu kwa kukaa na dukuduku moyoni mwako,ukimkubali MTU mwambie tu ajue ni tiba moja kubwa sana kwako na kwa muhusika mwenyewe.sio Leo yupo unajibana bana kesho hayupo ndio unaanza unafiki wa kusema alikuwa alikuwa mwambie ajue tu inampa moyo zaidi wa kufanya makubwa zaidi.
Kuna vitu vya kumwambia mtu na kuna vitu vya kutulia navyo...

Hili ni la kutulia nalo
 
Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,031
2,000
Wewe ni mjinga na taahira wa kutupwa. Huna hadhi ya kukutana hata na mdogo wangu wa mwisho. Acha shobo za kisee tafuta pesa.. Eti unaomba kuonana na X-Prezdaa una nini hasa cha maana we fala.. Kuwa makini utafi*wa.
Kwa hiki ulichokiandika hapa unafikiri nani ni taahira kati ya mm na ww??
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,135
2,000
Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika.Mm ni Kijana Mzalendo wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 35 sasa ninae vutiwa na Rais wetu Mstaafu wa awamu ya NNE Jakaya Mrisho Kikwete.
Nina Mapenzi makubwa na Rais huyu tangu nipate akili ya kujua siasa za Nchi hii mnamo mwaka 2002 na tangu nianze kupiga kura kwa Mara ya kwanza mwaka 2005.
Dhumuni LA kuonana nae ni kutaka kumueleza ni namna gani namkubali na kumuelewa,yeye ni "Rolu modo" wangu japo sina matumaini ya kuja kuwa kiongozi ktk Nchi yangu.
Moja ya Ndoto zangu ni kuonana na Kiongozi huyu ana kwa ana ikiwezekana na kupata japo picha.
Mm sio MTU wa Connection or mwenye hadhi ninaeweza kuja kukutana na kiongozi huyu hata kwa bahati mbaya,najua hapa wanapita watu mbalimbali naomba mwenye uwezo wa kunisaidia hili anisaidie.
Wasalaam.
Hiki kitu mimi pia nilikitamani sana siku nyingi hata kabla hajastaafu lakini hadi leo sijafanikiwa kuonana naye. Naamini ipo siku lazima tu nitakutana naye mahali fulani halafu tutaongea. Kwanza huyu mtu ni mjukuu wangu na kama angekuwemo humu jukwaani, alitakiwa aniitume vocha ya simu hapa nilipo muda huu!
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,135
2,000
Unaweza mpenda mtu kimya kimya tu..,,.

Ila JK ana nyotaa jmn.,
Binafsi nampenda personality yake..

Japo nikikutana nae live kummwambia sitaweza..ntafurahi tu kumuona.,
Kuna siku nadhani mwaka jana aliwahi kufanya kipindi na Salama Jabir, sikumbuki kinaitwaje na siku hizi kimepotea tena. Salama alimwuliza swali akasema "unadhani kwa nini watu wengi wanakupenda sana?' JK alijibu kuwa hajui kuwa watu wanampenda sana, ahalafu akaongeza akasema "ila pia najua kuwa hawanichukii". Alisema anapenda sana wajukuu zake wamtembelee nyumbani ila wakishafika tena mazingira nyumbani na vururugu zao zilivyo, vurugu hizo huwa zinamanza kuwa kero kwake, hapo hapo anaanza tena kuwapigia simu wazazi wao waje wawachukue. Yaani anaoenekana anapenda sana watoto!
 
MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
2,308
2,000
Miaka 35 ni miaka ya kujichimbia porini huko ukiandaa mazingira ya kuianza 40.

Kama miaka 35 bado una ndoto za kuonana na wanasiasa ukajilize jilize kwao aisee kuna shida mahali.

Lakini mkuu sikukatishi tamaa maana binadamu hatufanani,nenda pale udsm ana ofisi yake ukiweka appointment utaambiwa lini anakuepo umuone.
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
12,226
2,000
Unaweza mpenda mtu kimya kimya tu..,,.

Ila JK ana nyotaa jmn.,
Binafsi nampenda personality yake..

Japo nikikutana nae live kummwambia sitaweza..ntafurahi tu kumuona.,
Hapafu Lowassa usemeje,Tanzania nzima MTU anayeongozwa kwa kupendwa na watu ukimtoa Nyerere ni Lowassa hata Kikwete analijiua hilo,wa 3 ndio Kikwete.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom