Lakin ilitakiwa kianze kufundishwa kuanzia chekechea au darasa la kwanza kama kweli tuna nia ya dhati kuiinua nchii.Kwa usalama wa Taifa, kwa masafa marefu, napendekeza mfumo wa kuanza kutumia kiingereza kwa masomo yote darasa la tano! Na bidii iongezwe kuifundisha, lugha hi muhimu sana kimataifa, katika ngazi za chekechea na madarasa ya awali!
NB: Wanasiasa wanaotaka kuua kiingereza, na sio kukuza kiswahili, wana nia ovu nyuma ya mapazia. TAFAKARI!
CHEDU,Tatizo ni kuwa tuna walimu wachache wanaomudu lugha ya Kiingereza. Kwa kuanzia itabidi miaka mitano ya kwanza kuandaa walimu kwanza.
SIO kweli vyuo vya ualimu hufundishwa masomo yote kwa Kiingereza sio KiswahiliTatizo ni kuwa tuna walimu wachache wanaomudu lugha ya Kiingereza. Kwa kuanzia itabidi miaka mitano ya kwanza kuandaa walimu kwanza.
Lakin ilitakiwa kianze kufundishwa kuanzia chekechea au darasa la kwanza kama kweli tuna nia ya dhati kuiinua nchii.
Unajua tukifanya hivo itaongeza vijana kujiamini hata kama akifeli shule kale kalugha katamuongezea ujasiri hata wa kufanya biashara nje ya mipaka ya nchi hii
Kwa muda mrefu watoto wa wapigiwa kura tu ndiyo wanaofaidi keki ya taifa. Watoto wetu wapiga kura wanaandaliwa kuwa wapiga kura wa miaka ijayo.Ina kera Sana watoto wa walala hoi ndio wanaambiwa wajifunze na kuenzi kiswahili huku watoto wa mabwenyenye wanasoma kwa kutumia lugha ya mabeberu,
Moja ya vipao mbele vya mgombea urais wa chadema"mtia nia",Nyalandu katika elimu ni kubadili lugha ya kufundishia kuwa kiingereza kwa shule zote toka awali ni vizuri Sasa likaingizwa kwenye ilani zao za chama,vile vile baadhi ya halimashauri na mikoa wameanza kujenga shule maalumu za serikali za mchepuo wa kiingereza ambazo zina ada ndogo.
Kwa waendesha shule binafsi hili swala ni mwiba itabidi wafunge shule zao
Mimi mwenyewe ni mwalimu na sijui Kiingereza.SIO kweli vyuo vya ualimu hufundishwa masomo yote kwa kiingereza sio kiswahili
pili serikali ina shule kibao za msingi za english medium mikoa mingi tu.SERIKALI NI KUAMUA TU KUBADILISHA LUGHA TU YA KUFUNDISHIA WALIMU WATAFUNDISHA BILA SHIDA YEYOTE HAWA HAWA WALIOPO
Lakin ilitakiwa kianze kufundishwa kuanzia chekechea au darasa la kwanza kama kweli tuna nia ya dhati kuiinua nchii...
Unajua tukifanya hivo itaongeza vijana kujiamini hata kama akifeli shule kale kalugha katamuongezea ujasiri hata wa kufanya biashara nje ya mipaka ya nchi hii
Acha kutukuza vya wageni!!aliyekwambia kujua kingereza kunainua nchi nan?!!hawa wasomi wa miaka hii sijui MNA nini vichwani mwenu!!!!!
Una matatizo sekondari usome miaka minne kiingereza uende chuo usome Kiingereza kote ufaulu masomo uliyosoma kwa Kiingereza halafu mwisho wa siku useme hujui kiingereza hujielewi.Mimi mwenyewe ni mwalimu na sijui Kiingereza.
Mwalimu wangu wenyewe hawakuwa wanaijua lugha si ajabu makosa niliyokuwa ninaandika Seko Dari na chuoni hawakuyaona na walinipa ufaulu.una matatizo sekondari usome miaka minne kiingereza uende chuo usome kiingereza kote ufaulu masomo uliyosoma kwa kiingereza halafu mwisho wa siku useme hujui kiingereza hujielewi
Haya walimu wakupe ufaulu na baraza la mitihani ambao hawakukufundisha nao wakupe ufaulu bado useme hujui kiingereza sio kweli mfano unafundisha two times two kweli unashindwa kusema is equal to four!! sio kweliMwalimu wangu wenyewe hawakuwa wanaijua lugha si ajabu makosa niliyokuwa ninaandika Seko Dari na chuoni hawakuyaona na walinipa ufaulu.
Sasa hiki ndiyo Kiingereza kinachomuandaa mtoto kuwa na umahiri wa lugha wa kuweza kuwasiliana na mataifa mengine?haya walimu wakupe ufaulu na baraza la mitihani ambao hawakukufundisha nao wakupe ufaulu bado useme hujui kiingereza sio kweli mfano unafundisha two times two kweli unashindwa kusema is equal to four!! sio kweli
kiingereza cha kufundishia huwezi shindwa