Ombi kwa wagombea Ubunge na Urais juu ya lugha ya kufundishia mashuleni kubadilishwa kutoka Kiswahili kuwa Kiingereza

Mimi mwenyewe ni mwalimu na sijui Kiingereza.
tuache uzushi, iyo broken utakayoongea kila siku wakati wa kufundisha watoto shule ya msingi itakusaidia wewe mwalimu pia na watoto shuleni vilevile itawasaidia kila siku hadi iko siku kitanyooka tu.

Vilevile mwalimu anayetakiwa kukijua vizur ni wa somo la English nyie wa masomo mengine mtaongea broken iyoiyo hadi ulimi wenu iko siku utazoea.
 
Back
Top Bottom