ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Hahahaha hii kiboko walahi ha hahahahaendeleeni kuhesabu tu miaka ya uchaguzi na umaskini ukizidi mpaka kwenye kope

Kilichompeleka chadema ni kugombea uraisi na si vinginevyo. Kuhusu chama kuwa chake sina hakika lakini niliwahi kusikia aliuziwaSasa akatae kwani chama chake???
ni kwasababu haujui kimombo mkuu. wewe nawe walewale. mnatia aibu na phd zenu wakati ung'eng'e mnakimbia.Sijawahi kuona hoja ya kijinga kama hii
hata kama alikula hizo hela, lakini ukweli uko palepale, kamzidi jamaa mbali sana kwa kila kitu, angelikuwa rais tungepiga hatua haraka sana.Pesa za Libya hizo jengeni kiwanda kilichokusudiwa pale Lindi acheni mambo hayo
Kwahyo rais wa tz lazima ujue kiingereza ?membe ana mapungufu mengi sana, lakini ndiye rais bora kuliko wanaccm wooote, kwanza anajua kiingereza, elimu yake sio magumashi, ana utaalamu na diplomasia, ni afisa usalama wa taifa, halafu ana akili.
tangu umezaliwa hadi leo, kiswahili kimekusaidia nini hadi ujivunie? najua kiingereza kimekupa kazi. interview ulifanya kwa kisukuma au kimombo?Kwahyo rais wa tz lazima ujue kiingereza ?
Hatarii.msomi wa chuo kikuu, kazi ipo kama mtu anatukana lugha yake vip kuhusu baba yake na mama yake atawatukana tu
hahahahahahahaha mkuu umenivunja mbavuuu na Windhoek yangu mkononi..Huwa nawaza sana kwa nini tuna Rais KICHAA kama huyu anaongea kama kalewa pombe hiviii
Acha kumtisha wewe kwani we pia si ulimuita fisadi alipokuwa CCM???Hujafa hujaumbika kijana, muogope Mola wako maana aliyekupa wewe uzima ndiyo aliyemnyima yeye! Acha kabisa kiburi cha uzima ndugu yangu tena nenda katubu na usirudie tena kosa!
NAPENi ukweli usiopingika kuwa Mzee wetu Edward Lowasa hawezi mikiki mikiki ya Kampeni tena, na hata kama atajitahidi CCM watatumia mbinu zilezile za kumchafua kwa kusema kuwa ni mgonjwa. Na ni ukweli tena usiopingika kuwa mzee hayupo vizuri sana (kwa kuangalia video mbalimbali zinazorushwa mitandaoni zikionyesha akihangaika kutembea, kushuka ngazi).
Upinzani hakuna mtu mwenye haiba za kuwa Rais wa Nchi hii wa kuweza kupambana na JPM hata kama amekua ni mtu wa kufanya makosa mengi, JPM amekua akipoteza mashabiki wake wengi sana wa kisiasa kuanzia Wafanyakazi (kutokupandishwa mishahara, kutokulipwa malimbikizo yao, ongezeka la makato kutoka bodi ya mikopo, upendeleo wa dhati kwa mfanyakazi namba 1 wa Dar, maigizo ya uhakiki wa vyeti na mengi), Wanachuo (kukosa mikopo, kufukuzwa vyuo kwa kuambiwa hawajakidhi vigezo etc) wahitimu waliopo mtaani (hawa ajira wanaisikia Nchi jirani ya Kenya huko, si kwa walimu, Madaktari na wahitimu wengine), wafanya biashara (kodi nyingi kuliko makusanyo), Raia wa kawaida hawa wanalia kuwa pesa imekua adimu kuliko miaka yote iliyopita.
Upinzani kuna watu makini sana wanaoweza kuwatumikia Watanzania kama Mawaziri na watendaji wengine lakini wanakosa mtu wa kuweza kusimama kama kichwa na kupambana katika nafasi ya Urais.
Kwa mtazamo wangu mimi huu ni muda wa kumuomba Ndugu BERNARD MEMBE atoke huko alipo na apinduke upande wa pili kwa ajili ya kumsimamisha akiwakilisha upinzani na LOWASA abakie kutoa support na si kuwa mgombea. Natambua kuwa hawa wawili walikua na ligi yao huko CCM ila ni vyema kwa maslahi mapana ya Nchi hii wakaungana kwa ajili ukombozi. I can’t imagine collabo ya Lowasa na Membe wote wakisimamia kitu kimoja.
Mh. Mbowe naamini kuwa wewe ni muelewa na unajua vyema kuusoma upepo wa kisiasa hapa nchini, na najua kuwa unajua Watanzania tunampenda kwa dhati Lowasa, tafadhali piga sarakasi zako kidemokrasia kabisa kumfanya mzee wetu abakie kutoa Support na tuletee BERNARD MEMBE aje akimbizane na figisu figisu za ndugu zake CCM akiwa upande wetu wa upinzani.
Mh. Bernard Membe, hii nchi ni ya kwetu sote si ya kuizira wala kuitelekeza. Uliutaka Urais ukiwa huko CCM na umeukosa na hakuna dalili kuwa JPM atakubali upinzani ndani ya CCM, HAMIA UPANDE WA PILI NA UJIPANGE MAPEMA KABISA KATIKA VITA YA UKOMBOZI.
Nchi hii sio group la watsap useme tunaweza kujitoa, Tumezaliwa Watanzania na tutabakia kuwa Watanzania ipo haja ya kuungana na kukubaliana na ukweli kuwa ni lazima Tuungane bila kujali yaliyopita, vyama vyetu na itikadi zetu ili kulinusuru hili Taifa.
Mkapa hakukosea kukuiteni malofani kwasababu haujui kimombo mkuu. wewe nawe walewale. mnatia aibu na phd zenu wakati ung'eng'e mnakimbia.
UNAHITAJI KUHOJIWA NA WEWE VYETI VYAKO BUNGENINi ukweli usiopingika kuwa Mzee wetu Edward Lowasa hawezi mikiki mikiki ya Kampeni tena, na hata kama atajitahidi CCM watatumia mbinu zilezile za kumchafua kwa kusema kuwa ni mgonjwa. Na ni ukweli tena usiopingika kuwa mzee hayupo vizuri sana (kwa kuangalia video mbalimbali zinazorushwa mitandaoni zikionyesha akihangaika kutembea, kushuka ngazi).