Ombi kwa Bernard Membe

Ombi kwa Bernard Membe

Mnakiri kuwa upinzani hamna kitu na unamtegemea mwanaccm soo haun kma upinzan nu dhaifu.
 
Unajua kuwa Membe alipata Div 4 form four?
Kufeli shule sio kufeli maisha, kuna watu kibao wana-degree zaidi ya moja tena first class hakuna chochote wanachofanya. lakini wapo darasa 4 tu au wasiokwenda shule kabisa wanafanya vizuri.
 
MH. BERNARD MEMBE, KWA HESHIMA ZOTE, HANA UWEZO, HAIBA WALA SIFA YA KUWA HATA WAZIRI MKUU WA NCHI HII ACHILIA MBALI UMAKAMU AU URAIS WENYEWE, REGARDLESS YA CHAMA. KWA MTAZAMO WANGU, NA BILA KUJALI CHAMA KUNA WATU WANA SIFA HIZO ZA KUWA RAIS 2020 NA NIWATAJE WACHACHE KAMA WAZIRI WA ULINZI MH. DR. HUSSEIN MWINYI, MH. TUNDU LISSU, MH. MWIGULU MCHEMBA, BALOZI DR. EMMANUEL NCHIMBI, NA WATU WA AINA ZAO.AKITOKEA YOYOTE KATI YA HAO SAWA KABISA. MAONI YANGU.
 
Naunga mkono hoja,ukizingatia nilikua timu Membe 2015,

Membe hana mvuto; hawezi kuchaguliwa hata hapo 2015 alikuwa anabebwa na mkweree tu pamoja na mshiko aliovuta toka kwa Gaddafi!! Sasa ule mshiko wa Gaddafi umekwisha kwa kujengea hotel iliyobakia waungane na Nape wafanye biashara ya hoteli huko kwao!!
 
MH. BERNARD MEMBE, KWA HESHIMA ZOTE, HANA UWEZO, HAIBA WALA SIFA YA KUWA HATA WAZIRI MKUU WA NCHI HII ACHILIA MBALI UMAKAMU AU URAIS WENYEWE, REGARDLESS YA CHAMA. KWA MTAZAMO WANGU, NA BILA KUJALI CHAMA KUNA WATU WANA SIFA HIZO ZA KUWA RAIS 2020 NA NIWATAJE WACHACHE KAMA WAZIRI WA ULINZI MH. DR. HUSSEIN MWINYI, MH. TUNDU LISSU, MH. MWIGULU MCHEMBA, BALOZI DR. EMMANUEL NCHIMBI, NA WATU WA AINA ZAO.AKITOKEA YOYOTE KATI YA HAO SAWA KABISA. MAONI YANGU.
Zitto Kabwe naye ni Presidential Material
 
Huo ndiyo mtindio wenyewe wa ubongo, kwani wakati mnamuita team JK na kwamba wanachaguana na kupeana madaraka hamkumuona anafaa ila leo ndiyo akili zimewarudia siyo????
Kweli chizi karogwa tena.
Haloperidol inakuhusu!
Najua kwa akili ya mwendokas huwez kujua namaanisha nn mpka u google....hahahaha
 
Naunga Mkono kwa 100% Akikubali Narudisha Kadi Sasa hivi
 
Sasa uzi wa kijinga usifutwe kwa nn?

CC. mood[/QUOTE

Mtazunguka mtarudi pale pale, Hakuna kiongozi kama Dr Slaa, mlimuita msaliti kwa kuwaambia ukweli leo hii yote aliyoyasema yametokea, najua nikisema hili kwa kuwa jf moderators ni chadema wana ng'oa. Mpaka leo hakuna alternative voice Tanzania kwa kuwa watu hawawaamini tena wakina Mbowe. Hata leo nimemsikia Mbowe eti akimsihi JPM asikilize wapinzani hivi bado tuko huko Jamani? tangu Dr slaa atoe list of shame hakuna aliyevunja rekodi yake ya ujasiri na ukweli, mmejaa majungu tu, mbowe kauza chama kwa Lowassa sasa kimemdodea. Nimewachoka sana wakina Mbowe siwatamani na 2020 mimi ntapanda kwenye jukwaa la CCM kumnadi mgombea wao huki Kawe. vijana wamejazana mtaani viongozi wmeingia mitini tangu uchaguzi wako busy na ma babies. I hate them all! I want Slaa, I want Slaa
 
This time it is Lisu to stand. Ana urais mmoja anaongezewa Wa pill. Tundu Lisu oyeeee! Komaa mwanangu, kapambane na huyo mtukufu.
 
membe ana mapungufu mengi sana, lakini ndiye rais bora kuliko wanaccm wooote, kwanza anajua kiingereza, elimu yake sio magumashi, ana utaalamu na diplomasia, ni afisa usalama wa taifa, halafu ana akili.
KUTUMWA VEEPEE
 
Membe ni binadamu pekee aliyepo CCM anaeweza kuiongoza hii nchi vizuri
Ina maana CCM hakuna mtu sasa hivi ??
 
Kwani CHADEMA hakuna kabisa mwenye sifa na nguvu za kusimama kugombea uRais mpaka atokee tena CCM?
 
Kwa mtazamo wangu mimi huu ni muda wa kumuomba Ndugu BERNARD MEMBE atoke huko alipo na apinduke upande wa pili kwa ajili ya kumsimamisha akiwakilisha upinzani na LOWASA abakie kutoa support na si kuwa mgombea
Asijaribu. Hafai!!
 
Back
Top Bottom