Sisi wakazi wa bunju tunaomba utuwekee bango letu la matokeo ya mechi yetu kati ya Belouzdad na Yanga pale mlipoweka bango la mwanzo.
Pia msiwasahau na wale watu wa manzese pamoja na marudio ya mechi ya leo.
Asante sana
Ujimanue hivi Mwarabu anaachaje kuzama chumviniView attachment 2824039
Kumbe ndo walichoenda kukifanya hichi
Acha bhanaa.kumbe mapema tubangp lipo sarenda mida hiiView attachment 2824064
Buku 5 zinapendeza zaidi kuliko buku 3bangp lipo sarenda mida hiiView attachment 2824064

Bado ya moto moto hii, maana hakukuwa na kadi 2 nyekundu wala penati 2 za Bebwabebwa (Mbeleko) SC3 mzuka


Kuweka mabango ni kazi ya watu waliopata matokeo mazuri tu , Sasa Ally kamwe atawekaje mabango wakati kapoteza ,Sisi wakazi wa bunju tunaomba utuwekee bango letu la matokeo ya mechi yetu kati ya Belouzdad na Yanga pale mlipoweka bango la mwanzo.
Pia msiwasahau na wale watu wa manzese pamoja na marudio ya mechi ya leo.
Asante sana