Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
2,261
Reaction score
2,741
Wakuu habari ,kutokana na Mh Lowasa mazungumza na watanzania leo saa kumi jioni,na kwakuwa tunasubiri kusikia mambo muhimu yanayolihusu Taifa kutoka kwake.

Ninaomba ITV warudie kipindi Mara baada ya taarifa usiku wa Leo.

Hii inatokana na sababu kuu mbili, mosi ni kuwa watu wengi muda huo atakaozungumza tutakuwa makazini bado pili kuna sehemu kubwa ya nchi umeme umekata muda huu.

Naomba kuwasilisha.
 
ITV ndio tv pekee iliyobakia kutuletea ukombozi ,tunawaomba muwe wasikivu tafadhali rudieni hizo speech usiku
 
Yeyote mwenye Link ya itvonline atuwekee hapa ili nasi huku maofisini tuhabarike live!!!
 
Umeme huwa unarudishwa saa 5 usiku, ilipaswa ukawa wajikite zaidi kwenye radio zote kwan kila mwenye simu anauwezo wa kusikiliza
radio mahali popote.
 
Back
Top Bottom