ombi:kikwete tembelea arusha na moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ombi:kikwete tembelea arusha na moshi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jun 18, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna thread ilikuja hapa siku chache zilizopita ikisema rais kikwete amewahamisha watoto wake
  kutoka arusha walikokuwa wakisoma na kuwapeleka kusikojulikana,
  najua ni haki ya mzazi kuwapeleka watoto shule yoyote aitakaye,
  lakini kitendo kile kimetafsiriwa eti rais anaogopa wachaga wasije wakawadhuru watoto wake,
  hasa ikizingatiwa arusha ipo chini ya mbunge wa upinzani,
  sisi wakazi wa arusha na moshi tunataka kumwakikishia rais wetu kuwa tulimpa kura nyingi,
  tunaomba rais asituelewe vibaya,japo tunaongoza mbele kwa mapambano ya mabadiliko,
  rais ukitembelea arusha na moshi nafikiri kuna hisia fulani utajenga nadani ya mioyo ya watanzania,
  karibu arusha na moshi tembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  umetumwa???? atafikaje huko wkt anajua wazi hapendwi huko??
  hata kura zilichakachuliwa hasa Arusha na Moshi, watu wa huko wanachukia ufisadi ndio
  maana Mramba hawakumrudisha ubunge,Arusha mjini walikesha kulinda kura zao la sivo wangeiba pia. bravo kwa watu wa Rombo,Moshi njini,Arusha mjini,Mbeya mjini,Mwanza,nk..soon CCM itakuwa chama cha upinzani bila hivo nchi haitaendelea..Naona ww utakuwa ni Nape squad unatafuta umaarufu huku,acheni unafiki rais kwa sasa yuko bize na ziara za nje kwani asipotembelea nchi za nje ati tutakufaa njaa sasa aje Arsuha na Moshi huko mtampatia chakula??
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Akienda kwa machalii wanaweza kummdedisha
   
 4. a

  andry surlbaran Senior Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we vp, aache kwenda uswiss na marekani knywa chai aje huko? Kasahau nini mbaka aje? Sahauni hilooo
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
   
 6. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Wanini? Akae huko huko si alimtuma Nape akasema hahitaji wachaga. Yeye atulie. Tunamsubiri huku Iringa, na Jinsi wanavyomnyanyasa Mchungaji wetu Bungeni, tutalia sana na mtu. Ngoja niende kalenga kutambika .
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nahisi kuna sehemu hawezi kwenda,tunduma, kule mke wake alitukanwa na kufukuzwa wakati wa kampeni,mbeya,iringa,arusha,moshi,mwanza,na baadhi ya bukoba,miji yote hiyo ni ya wajanja,ataishia kwa masheghe wenzake kama,pwani,morogoro,tanga,mtwara kule walikompa muhindi ubunge,lindi kwa membe
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwani hujui kua yupo njee ya ofisi????
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  tumesubiri muda mrefu,nafanya kukumbushia akirudi,hata hivyo huko aliko anasoma hii
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  nafikiri sio jambo la busara rais kusafiri sana,inaonekana kuna udhaifu mkubwa
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe lazima utakuwa Ke, na lazima nikuoe !
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  ke! ndio nini?
   
 13. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  JK mwoga! hakufaa kuwa kiongozi wa taifa hili! Baba wa taifa aliliona hili kwa jicho la tatu lakini tukazugwa na tabasabu la 2005 sasa tunajuta. Yupo wa kujitoa mhanga mie nina mabomu!
   
 14. F

  FRANK MICHAEL Senior Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndio niiko tayari bro no zangu ni 0787265709 kama uko siriaz nipigie nikamalize chap
   
 15. M

  Msouth Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Leo nimethibitisha bila shaka kwamba wewe unayejiita Genious huna lolote zaidi ya kuwaza ngono zembe humu jamvini. Kama huo ndio mtizamo wa kimagamba basi mmekwisha! Nakushauri utubu na kumrudia muumba wako kabla hazijaja siku ambazo utalia na kusaga meno! Mungu akutie nguvu! AMEN!
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  This is un ethical bro!!
   
 17. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Jinsia ya Kike, Muhuni huyu thread inaongelea kumuomba Rais atembelee AR/Moshi yeye anatafuta wa kuowa! anapoteza mada.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wewe mbona unaoleka tu! Me uliyegeuzwa na Nepi kuwa Ke.
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmmh,,, kama mi najinyonga!
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Nakupongeza kwa ujasiri wako, lakini be careful na Jina lako hapo na number hiyo!!! futa msg then, PM kama upo vizuri kwa kazi.
   
Loading...