ombi:kikwete tembelea arusha na moshi

akafanye nini? JK kaa ikulu watumikie wananchi. Kwani anahitaji kura zenu tena? kama ni maendeleo atawatuma wawakilishi wake.
 
magamba wana IQ 0000 ONA mTU ANAYEJIITA gENIUS WAO anavyotumia makamasi kufikiri hapa jamvini. Moshi na Arusha tunasema TANZANIA yetu bila CCM inawezekana raisi ukitaka kujua hili karibu Ar na M - town ufe na presha.Wananchi wote, TANZANIA nzima tuungane kwa pamoja na Operesheni Sangara. TANZANIA A & M - Town Hatutaki ufisadi na hatuwataki magamba, tunataka Mageuzi, CDM KANYAGA TWENDE.
 
Back
Top Bottom