OMBA yakukute yote lakini sio hili

OMBA yakukute yote lakini sio hili

Hapo ndo mume inabidi ukumbuke maneno uliyomwambia mkeo enzi zile "nipo tayari kufa kwa ajili yako"
tekeleza ahadi yako ss, fight...bora ufe but mkeo abaki salama
 
tatizo lako unaleta mada hata wewe jibu huna, mambo ya mzee wangu unakosea, afadhali ungeliniambia mimi rafiki, mzee wangu namheshimu sana so nisingelipenda umwingize kwenye mada hii ya kufikirika, mimi sijakuambia uzee wako atatoa
kama hujajiandaa kwa changamoto za mijadala afadhali usingelitoa hiyo sredi yako
inaonekana hata mzee wako angetoa bila pingamizi yoyote ile
 
Ni usiku, upo na mke wako mnarudi home unakutana na wahuni kama wanne wapo na mapanga na wewe hauna silaha yoyote ile halafu wana wanyang'anya simu pamoja na pesa then wanasema kaa pembeni ili wapige game na mke wako.

kama wewe ni mwanaume utafanya nini?
kama wewe ni mwanamke mme amekuacha utoe mchezo kwa hao wahuni utamchukuliaje??

Wahuni na vibaka kama hao ndio tunataka sheria ya kunyonga hadharani kama uarabuni ije...Sio binadamu kabisa hao, hata sheria ilitakiwa isiangaliwe kwao...
 
Inabidi ukae kwa makini kuona kama wana style mpya ya kupiga mzigo ili nawe ukaapply
Yawezekana wamekuzidi ki-aina
 
Nasubiri linikute nitakuja kutoa jibu!
 
Ukiwa na cha Arusha kichwani unazuka tu na mada.
 
tatizo lako unaleta mada hata wewe jibu huna, mambo ya mzee wangu unakosea, afadhali ungeliniambia mimi rafiki, mzee wangu namheshimu sana so nisingelipenda umwingize kwenye mada hii ya kufikirika, mimi sijakuambia uzee wako atatoa
kama hujajiandaa kwa changamoto za mijadala afadhali usingelitoa hiyo sredi yako

sina majibu ndio maana nikakuulza wewe... kwakuwa umejibu kihuni hivyo sijaona sababu ya mimi kutokukujibu kihuni, kwann hujiulizi niwewe tu ndio nimekujib ivo???
 
Ni usiku, upo na mke wako mnarudi home unakutana na wahuni kama wanne wapo na mapanga na wewe hauna silaha yoyote ile halafu wana wanyang'anya simu pamoja na pesa then wanasema kaa pembeni ili wapige game na mke wako.

kama wewe ni mwanaume utafanya nini?
kama wewe ni mwanamke mme amekuacha utoe mchezo kwa hao wahuni utamchukuliaje??
duh mkuu hii topic naacha pending maana ukipigana wakikua wanakula mama na mama ataendelea kupeta tu...
ukiacha waki-mdoo ni aibu sijui kama mtaweza kuendelea kuheshimiana na kufurahia mapenzi yenu...ukiliwa 0713 tena ndo kabisa sijui utamuangaliaje waifu na jamii maana hakuna siri ya wawili na siku akikuchoka ndo kwanza atakuwa wa kwanza kukutusi kwa kusema ndo maana ulifunguliwa boot........duh hasira imeanza kupanda.........
 
mwanaume unatakiwa kupambana mpaka hatua ya mwisho,kugongewa ngozi wife kibabe inauma sana
 
mbaya zaidi wakugonge wewe, mbele ya mkeo utafikiriaje? mke si tatizo kwa maa hilo shimo ndio kazi yake, sasa wewe waanzishe njia mpya ya mfereji balaa.
 
Back
Top Bottom