mzalendo 1
Member
- Apr 17, 2015
- 22
- 8
Kuna aina tofauti tofaut za kujibu maswali,hyo ni mojawapo,hebu rudi shule mkuuKudesa ndio zenyuuu
Kuna aina tofauti tofaut za kujibu maswali,hyo ni mojawapo,hebu rudi shule mkuuKudesa ndio zenyuuu
Hiki ndicho alichokisema Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Omary Mgumba bungeni mjini Dodoma, pamoja na mambo mengine amesema amepongeza hatua ya serikali ya kuhamisha fedha za mashirika ya umma na taasisi za serikali kwenye mabenki na kuzipeleka benki kuu (BOT)
Ametolea mfano kuna taasisi kama bandari walikuwa waliweka fedha kiasi cha bilioni 440 kwenye fixed account ya mabenki ya kibiashara kwa riba ya 4.3 kwa mwaka, na kwenda kukopa kwenye benki hizo milioni 100 kwa ajili ya miradi yake kwa riba ya juu zaidi.
Ametaka Rais asilegeze iendelee na msimamo huo huo kuwe na nidhamu
Sawa mkuu.Kuna aina tofauti tofaut za kujibu maswali,hyo ni mojawapo,hebu rudi shule mkuu
Economics bongo...halafu justify Biashara gani ambazo zimeshafanyika za kukuza uchumi zilizokwisha fanyika wakati fedha ya serikali ilipokuwa kwenye hayo mabenki ya biasharaWewe naona concept ya banking huielewi kabisa. Eti "iwe na mtaji wake"? Hivi wewe unafikiri benki inafanyaje kazi? Inachukua deposits za wateja na kuzikopesha kwa wateja wengine...bank inamtoza aliyekopa riba na inamlipa depositor riba pia. Duniani kote ndivyo benki zinavyofanya kazi. Hiyo inasaidia hela ya depositor..iende kwa mhitaji mwingine na yeye aweze kufanya shughuli ya kuzalisha...na ndio uchumi unavyokua. Sasa zote zimerundikwa BoT...zimekaa tu wala hazisaidii kukuza uchumi. Ni mtu asiyeelewa economics tu atakayefurahia jambo la namna hii.
Ishu siyo serikali kuondoa pesa zake kwenye mabenki ya biashara ishu hapa ni Uharaka wa kuziondoa pesa hizo bila kuyapa mabenki muda wa kubadirisha business modal zao.
pili serikali ingeweza kukaa na mabenki na kuongea nayo ili iwepo win win situation, kwa mfano serikali ingeyaambia mabenki kuwa na yenyewe ipate asilimia fulani ya faida pindi benki zikikopesha zile pesa kwenda kwa biashara mbalimbali. Na pia yenyewe ikienda kukopa basi isitozwe riba, bali ipunguziwe faida yake pesa za serikali pindi zikikopeshwa kwa firms nyingine.
Yaani badala ya kutoa mapesa hayo kwenye mabenki ya biashara na kwenda kuyaatamia kama mayai kule benki kuu, basi yangekuwa katika mzunguuko na kustimulate uchumi!
Hiyo unayosema imo kwenye taratibu za fedha!Ishu siyo serikali kuondoa pesa zake kwenye mabenki ya biashara ishu hapa ni Uharaka wa kuziondoa pesa hizo bila kuyapa mabenki muda wa kubadirisha business modal zao.
pili serikali ingeweza kukaa na mabenki na kuongea nayo ili iwepo win win situation, kwa mfano serikali ingeyaambia mabenki kuwa na yenyewe ipate asilimia fulani ya faida pindi benki zikikopesha zile pesa kwenda kwa biashara mbalimbali. Na pia yenyewe ikienda kukopa basi isitozwe riba, bali ipunguziwe faida yake pesa za serikali pindi zikikopeshwa kwa firms nyingine.
Yaani badala ya kutoa mapesa hayo kwenye mabenki ya biashara na kwenda kuyaatamia kama mayai kule benki kuu, basi yangekuwa katika mzunguuko na kustimulate uchumi!
Tatizo nikuchukua fedha za serikali kwenda kucheza upatu. Wakati kunafedha haziendikufanya kazi iliyo kusudiwa. Watu wanatengeneza faida alafu wanagawana. Mnaishia kulaumu serikali. Mabenki ya washawishi wateja wao/wananchi wafanyenao michezoiyo.
Wewe naona concept ya banking huielewi kabisa. Eti "iwe na mtaji wake"? Hivi wewe unafikiri benki inafanyaje kazi? Inachukua deposits za wateja na kuzikopesha kwa wateja wengine...bank inamtoza aliyekopa riba na inamlipa depositor riba pia. Duniani kote ndivyo benki zinavyofanya kazi. Hiyo inasaidia hela ya depositor..iende kwa mhitaji mwingine na yeye aweze kufanya shughuli ya kuzalisha...na ndio uchumi unavyokua. Sasa zote zimerundikwa BoT...zimekaa tu wala hazisaidii kukuza uchumi. Ni mtu asiyeelewa economics tu atakayefurahia jambo la namna hii.
Mkuu nakumbuka kuna kauli mtukufu malaika aliwahi kutamka kuwa "fedha zinapotea sababu kuna watu wamezificha"lakini akasahau kuwa kwa amri yake ya kuondoa fedha za taasisi za serikali kwenda BOT ni sawa na mtu anayeficha fedha kwenye kibubu. Mimi namshangaa Dr. Mpango kuwa kimya kwenye hili kwa kuwa kulingana weledi alionao anajua wazi madhara ya hatua hii kiuchumi ndiyo maana baadhi ya mabenki yamesitisha mikopo kwa wafanyabiashara na kwa tendo hili tusubiri mda mfupi ujao hali ya kiuchumi itakuwa mbaya zaidi ya hii iliyopo.Ishu siyo serikali kuondoa pesa zake kwenye mabenki ya biashara ishu hapa ni Uharaka wa kuziondoa pesa hizo bila kuyapa mabenki muda wa kubadirisha business modal zao.
pili serikali ingeweza kukaa na mabenki na kuongea nayo ili iwepo win win situation, kwa mfano serikali ingeyaambia mabenki kuwa na yenyewe ipate asilimia fulani ya faida pindi benki zikikopesha zile pesa kwenda kwa biashara mbalimbali. Na pia yenyewe ikienda kukopa basi isitozwe riba, bali ipunguziwe faida yake pesa za serikali pindi zikikopeshwa kwa firms nyingine.
Yaani badala ya kutoa mapesa hayo kwenye mabenki ya biashara na kwenda kuyaatamia kama mayai kule benki kuu, basi yangekuwa katika mzunguuko na kustimulate uchumi!
we vipi?Ishu siyo serikali kuondoa pesa zake kwenye mabenki ya biashara ishu hapa ni Uharaka wa kuziondoa pesa hizo bila kuyapa mabenki muda wa kubadirisha business modal zao.
pili serikali ingeweza kukaa na mabenki na kuongea nayo ili iwepo win win situation, kwa mfano serikali ingeyaambia mabenki kuwa na yenyewe ipate asilimia fulani ya faida pindi benki zikikopesha zile pesa kwenda kwa biashara mbalimbali. Na pia yenyewe ikienda kukopa basi isitozwe riba, bali ipunguziwe faida yake pesa za serikali pindi zikikopeshwa kwa firms nyingine.
Yaani badala ya kutoa mapesa hayo kwenye mabenki ya biashara na kwenda kuyaatamia kama mayai kule benki kuu, basi yangekuwa katika mzunguuko na kustimulate uchumi!
Tatizo mabank yetu hayataki kufanya biashara na watu Bali serikali. Ndiyo mana hata customer care nilikuwa poor. Ukippeleka kudeposit pesa zako mwenyewe unanuniwa utafikili umefanya kosa. Sasa hivi customer care au satisfaction lazima itakuwa huu. Hata atakayepeleka laki mmoja kudeposit lazima wamtake with great care. Ile dhana ya mteja ni mfalme itarudi sana. Mabank tellers walikuwa na nyodo sana mi kuna mmoja nimewhawahi kumtukana na yeye akanijibu kuwa wateja wapo wengi sana mi nikiondoka ni kama tone kwenye maji. Magufuli anataka kuzifanya bank zifanye kazi kwa ushindani kugombania wateza na hapo ndo kutakuwa na maximum efficiency kama ulaya. Nenda baclays ni tofauti sana na crdb au NBC ktk customer careWewe naona concept ya banking huielewi kabisa. Eti "iwe na mtaji wake"? Hivi wewe unafikiri benki inafanyaje kazi? Inachukua deposits za wateja na kuzikopesha kwa wateja wengine...bank inamtoza aliyekopa riba na inamlipa depositor riba pia. Duniani kote ndivyo benki zinavyofanya kazi. Hiyo inasaidia hela ya depositor..iende kwa mhitaji mwingine na yeye aweze kufanya shughuli ya kuzalisha...na ndio uchumi unavyokua. Sasa zote zimerundikwa BoT...zimekaa tu wala hazisaidii kukuza uchumi. Ni mtu asiyeelewa economics tu atakayefurahia jambo la namna hii.
hajaongea hivyo?hiyo 4.3 umeitoa wapi?
Are you an economist or you are writing for the sake of writing? Tunaopoteza uchumi ni wote na hatuna vyama. Sit down study how banks works and come back with your criticisms. Jua nchi kama marekani inakopa uchina iweje Tz inashindwa kuwekeza kwenye hata bank zetu za hapa nyumani? Think, digest before you comment. Mihemko ya siasa haitatufikisha popote. Mwalimu alikataa kuwa jiwe, tuliokuwa hai wakati huo tunajua yaliyotutokea. Tulikosa hata chumvi majumbani halafu unaleta utani kama huu?? Go read what happened in Tz in 1999 na kuendelea baada ya vita ya Kagera. Maamuzi yetu yalipotufikisha. Siasa ni dynamic uchumi ni how you embress it. Tunaoumia ni watu tusiokuwa na vyama yawezekana chadema unaowasema wana mitaji yao na nyie ccm mlishajijazia huko uswiss je sisi kajamba nani tule wapi?Chadema kama kawaida yao, naona wanahangaika kutetea mafisadi
Mbowe umefilisi Nhc, rudisha pesa