chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,959
Hiki ndicho alichokisema Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Omary Mgumba bungeni mjini Dodoma, pamoja na mambo mengine amesema amepongeza hatua ya serikali ya kuhamisha fedha za mashirika ya umma na taasisi za serikali kwenye mabenki na kuzipeleka benki kuu (BOT)
Ametolea mfano kuna taasisi kama bandari walikuwa waliweka fedha kiasi cha bilioni 440 kwenye fixed account ya mabenki ya kibiashara kwa riba ya 4.3 kwa mwaka, na kwenda kukopa kwenye benki hizo milioni 100 kwa ajili ya miradi yake kwa riba ya juu zaidi.
Ametaka Rais asilegeze iendelee na msimamo huo huo kuwe na nidhamu