Hivi haya ya ku record tena ndani ya the situation room, hawezi kupata matatizo kutoka kile kiapo waliapishwa na Pence!
Unless kama ku record WH conversation haiko kwenye vipengele.
Yaan my Dear black oppression is still there, though it hard to declare it openly.
Sasa kwa tabia kama hii ya omurasa usitegemee kabisa atawapa black women jina zuri.
Kina condolezza, Oprah and the like wanajitahd sana kumuhudumia clear jina la black women but not omurasa
NN unless you didn't get my point right. I am not denying the fact that " tabia ya mtu ni mtu pekee na siyo base ya rangi, gender etc"
But kumbuka black people are mostly the victims of every oppression in whites society. And so tunategemea mwanamke mweusi aww very smart and intelligent in choosing how to behave.
Sasa huyu ataendeleza ile lugha ya " they can't be trusted"
Halafu tukubali tukatae Bado jamii ya wazungu haiamini sana jamii ya watu weusi ingawa inataka kutuaminisha kwamba hakuna kitu kama hicho. Well that is according to my poor brain though....
Hapana, hakuna sheria inayozuia kurekodi mambo huko situation room; sheria inakataza kutoa information ambayo ni classified tu. maongezi hayo tuliyosikia baina ya General Kelly na Omarosa hayakuwa classified na wala hakukuwa na haja ya kufanyia kikao hicho huko situation room kwa vile yalikuwa ni administrative ambayo yangefanyikia ofisini kwa kwake tu.
Kamba hukatikia pembamba... Kumbuka Goliath aliangushwa na nani?Mh!, Ngabu this tone is scary.
Halafu she's still going to speak to Mueller.
Yaani with all that he shaked the country and the World with..
The Russian probe, Democrats, the back and forth with Kim, Iran, the almost Nuke War, et cetera...
Omarosa could be the one to take him down?!!, ama kweli hii ni dunia.
Atleast now hakuna tena anayeongelea hari za huyo mwanamke Omarosa. Story yake imeshapita kama zilivyopita story nyingine
Ila zimeacha alama na kuongeza madoaAtleast now hakuna tena anayeongelea hari za huyo mwanamke Omarosa. Story yake imeshapita kama zilivyopita story nyingine
Leta hoja zilizoenda shule. Trump ni boya tu kama maboya wengine.
Omarosa Manigault-Newman...
Huyu mama huyu...ni bonge moja la drama queen. Sitoshangaa huyu ndo akawa sababu ya Donald Trump kuanguka na kuachia urais.
Mwaka 2004 ndo nilimwona kwa mara ya kwanza huyu mama. Nilimwoma kwenye kipindi cha Apprentice kilichokuwa kinaongozwa na Donald Trump.
Kwenye hicho kipindi huyu mama alijionyesha kuwa ni mpenda drama sana. Mara aligombana karibu na washiriki wote kwenye hicho kipindi kwa wakati huo.
Tokea hapo ndo yeye na Trump wakawa karibu. Baadaye mwaka 2016 akafanya kazi kwenye kampeni ya urais ya Donald Trump.
Baada ya Trump kushinda, akaja kuteuliwa na [Trump] kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya moja ya idara za White House.
Hakudumu sana kwenye hiyo nafasi. Alifukuzwa mwishoni mwa mwaka jana.
Sasa kaandika kitabu kuhusu muda wake hapo White House na kaja na tuhuma kibao.
Moja ya tuhuma ni anadai kuwa Trump alishawahi kurekodiwa akilitumia neno la 'N' [the N word]. Trump mwenyewe kakanusha.
Akiwa hapo White House, Omarosa inaelekea aliwarekodi kwenye mazungumzo watu wengi. Kuanzia Trump mwenyewe, General Kelly, na wengineo.
Sasa kaanza kuachia kidogo kidogo mazungumzo ambayo alikuwa anayarekodi.
Je, hiyo kanda ya Trump anayodai Omarosa kuwa ipo nayo itavuja? Tusubiri tuone.
Ila kusema ukweli huyu Omarosa ni nyoka. Hapo White House inaonekana alikuwa yupo kwa ajili ya mashahi yake tu na siyo kulihudumia taifa lake.
Katika moja ya teuzi mbaya kabisa ambazo rais Trump kazifanya basi ya huyu mama inaweza kabisa kushika nafasi ya kwanza.
Ngoja tusubiri mwisho wake tuone...
Fire and furry..Hahah kile kitabu walishangilia sana na kusema ndo mwisho wa Trump.Trump is a survivor aisee.Sasa subiri mid-term election sept hii Red wave litakapofagia ma liberal.Kuna Liberal mmoja alisema the only way ya kumuondoa Trump is economic recession tu,nothing else.Maana drama wanampiga nazo zote anazipangua daily.We kumbe humfahamu hata kidogo trump,aanguswhe na huyo.amepitia mangapi?wamejitokeza wanawake wengi kwamba aliwadhalilisha kingono imepita.wanasema Russia imemsaidia nayo itapita.wameandika Kitabu first and furry kiko wapi?,mwanasheria wake aliachia audio juzi juzi.iko wapi?
The only way wanaweza muondoa Trump is economic recession.Ukichanganya na hizi drama watu wanaweza pata hasira kweli wakamuondoa.Ila as long as watu wanakuwa employed and cash IN.They wont give a damn about the tapes ana Amarosa dramas.Trust me.Mkuu vijembe tena?!, wakati kuna tapes!...
Daa true trump amenifundisha kitu kikubwa.kujiamini.kusimamia unachokiamini na kutokata tamaa.Fire and furry..Hahah kile kitabu walishangilia sana na kusema ndo mwisho wa Trump.Trump is a survivor aisee.Sasa subiri mid-term election sept hii Red wave litakapofagia ma liberal.Kuna Liberal mmoja alisema the only way ya kumuondoa Trump is economic recession tu,nothing else.Maana drama wanampiga nazo zote anazipangua daily.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakwambia 'Never Ever Quit'Daa true trump amenifundisha kitu kikubwa.kujiamini.kusimamia unachokiamini na kutokata tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kukamata watu kijiji kizima?😁😁😁Marekani haina maji safi na yenyewe! Tatizo Trump hatembei kama Obama angekuja tumpe mbinu za kufikisha maji Vijijini.