hivi watu wanaotumia misiba kuleta ushabiki wa kisiasa na mambo ya kishambenga wana akili kweli? sasa mtu anatoa taarifa ya msiba ambayo ni ya kusikitisha lakini anakazana mpaka anahakikisha kamuhusisha na rais! au ndo usomi wa siku hizi?
Mhh haya sasa. Jamani mwacheni huyu mtu apumzike kama angekua wa kusikia.jamani uongozi tabu! Kaacha safari kahamia misibani lol ama kweli huyu kiumbe ni chaguo
la Mungu!!